Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
RAIS wetu mpya 2030 -35
Ukimtazama Nchemba mtazame kama RAIS mpya muda ukifika!!!
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.
Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.
Nikimuona nakumbuka ule MKOROMORAIS wetu mpya 2030 -35
Ukimtazama Nchemba mtazame kama RAIS mpya muda ukifika!!!
hapo askofu Kalikawe Bagonza kafura mbaya sana,Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.
Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.
Mkoromo oyeeeee!Nikimuona nakumbuka ule MKOROMO
Generator. Big horse powerKo watu hapo wanamtazama na kukumbuka ule Mkoromo?
πππ
Pawatila. πππGenerator. Big horse power
KKKT is a CCM BranchWaziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.
Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.
Jamaa ameamua kukunja moyo ,, kama ni mbaya acha iwe mbaya ππWaziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.
Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.
Kkkt ni kanisa linaloenda kujifia kutokana na nepotism na uchawaWaziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, ikiwemo kuboresha vituo vya huduma na shughuli za diakonia.
Harambee hiyo inafanyika katika viwanja vya Tanga Beach Resort, jijini Tanga, kwa lengo la kuhamasisha waumini na wadau kuchangia uimarishaji wa huduma na miradi ya maendeleo ya Dayosisi hiyo.
Yeye ataua watanzania elfu ngapi ili apate hicho cheo?RAIS wetu mpya 2030 -35
Ukimtazama Nchemba mtazame kama RAIS mpya muda ukifika!!!