Dkt. Mwigulu mgeni rasmi kikao cha halmashauri kuu maalum ya CCM Kagera

Dkt. Mwigulu mgeni rasmi kikao cha halmashauri kuu maalum ya CCM Kagera

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
IMG-20261103-WA0182.jpg


Waziri Mkuu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mwigulu Nchemba, ambaye pia ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Kagera, amekuwa mgeni rasmi katika kikao cha Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Mkoa huo leo, Jumanne, Novemba 3, 2026.

Kikao hicho cha tathmini ya utekelezaji wa majukumu ya chama kimefanyika katika Ukumbi wa KCU, mjini Bukoba, mkoani Kagera.

IMG-20261103-WA0195.jpg
IMG-20261103-WA0224.jpg
IMG-20261103-WA0213.jpg
IMG-20261103-WA0214.jpg
 

Attachments

  • IMG-20261103-WA0219.jpg
    IMG-20261103-WA0219.jpg
    426.5 KB · Views: 2


Waziri Mkuu, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kagera, Dkt. Mwigulu Nchemba, akiwa mgeni rasmi katika kikao cha Halmashauri Kuu Maalum ya CCM Mkoa cha tathmini ya utekelezaji wa majukumu ya chama, kilichofanyika katika Ukumbi wa KCU, mjini Bukoba, Novemba 3, 2026.
 
Back
Top Bottom