Siku chache kabla hajateuliwa tena alikuwa jimboni na akakutana na Mzee mmoja wa mambo fulani kule kijijini kwao Makunda na Ng'anguli (jina la Mzee huyo nalihifadhi).
Akaambiwa asiwe na wasiwasi kwani atarudi tu kwenye ukubwa na akamwambia apambane vema na maadui zake.
Ni kweli baada ya hapo akaanza kupambana na ikafikia hadi kuwaambia wasimfuate fuate kwani yeye ni mamba aliyeko kwenye kina kirefu.
Na kweli akaendelea na mapambano makali mpaka ikafikia hatua akaendelea ku-air kwa sauti ya juu interest za Mkulu na akasikika.
Huyo Mzee ameendelea kusema kuwa lazima atahakikisha Dkt. Mwigulu anatimiza malengo yake. Ndugu wa karibu wa huyo Mzee anadai watu wasubirie wataona Dkt. Mwigulu atakavyoshangaza dunia.