Hivi kuamini katika kutatuliwa shida zetu na watu walionje ya mipaka yetu ndio akili? Ugonjwa watengeneze wao , vipimo watengeneze wao , chanjo watengeneze wao , mpaka dawa watengeneze wao , sie tukae tu , ndio akili hiyo ? Kweli watanzania wana safari ndefu ya kujikomboa kifikra.Hiyo ndio representative sample ya Ph.D za bongo!!! Inaelekea wengi wao wanaamini NYUNGU ndio maana nchi inakwama!!!