PostGE2025 Dkt. Mwigulu: Tanzania ni mali yetu sote, si mali ya Serikali wala Chama cha Siasa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanaonufaika na hiyo nchi ni wachache.

Kwahiyo siwezi kusema hiyo nchi ni mali yangu
 
Mwigulu ndoto zake ni kuwa Rais 2030.Ni kama kaanza kampein mapema .Kusema ukweli Mwigulu anajibainisha kuwa tofauti kabisa na Samia. Na Samia atakuwa anaona wivu Mwigulu kuwa Popular.Nchimbi ndo kabiiisa .Let us see.Yajayo yanafurahisha.
Pamoja nakushindwa kumjibu hoja nzito nzito ila angalau anajua kuongea kuliko Mama mwenyewe
 
Hata kama kaongea ukweli... CCM hawapendi kuambiwa haya...
Huyu hafiki krismass...

Ahahaahaa....

Nani alimdanganya Sa100...
 
Mwigulu ndoto zake ni kuwa Rais 2030.Ni kama kaanza kampein mapema .Kusema ukweli Mwigulu anajibainisha kuwa tofauti kabisa na Samia. Na Samia atakuwa anaona wivu Mwigulu kuwa Popular.Nchimbi ndo kabiiisa .Let us see.Yajayo yanafurahisha.
Sasa kwanini alipewa u PM..

KIUKWELI KWA MANENO HAYA.
HAYUKO NA MAMA KABISAA.... 100 100...
 
Na cha ajabu kingine hawa kina Chadema,Mange, Maria, TEC na Gwajima ndo wamejipa haki ya kujiona wao ndo hasa wana uchungu na Nchi hii na ni wazalendo halisi kwa muda huu na ukitoa wazo mbadala na hasa la kuleta amani wale wafuasi wao watiifu ni kutukana mwanzo mwisho yaani kwa sasa ni muda wao lakini wakati ni mwalimu mzuri

Nikisema hivi sina maana Chama tawala ni chama makini nao ni wale wale tu ila kwa sasa hao niliowataja ndo wanajiona Tanganyika yenyewe na wengine sie wengine ni wakuja tu (tunaotaka amani) wana illusion za ajabu ajabu hawa watu na ilitokea wanashika nchi na hakuna reforms za maana na jumuishi ni kuwaachia nchi yao hawa kutafuta hifadhi kwingine kwa baadhi yetu
 
Kama Tanzania ni yetu sote mbona nyie mnataka kututawala kimabavu na familia zenu badala ya kutuongoza kama viongozi kufuata weledi na sheria
 
Mwigulu huyu huyu alisema tuamie Burundi ndo wa kuja kusema aya hana credibility ya kuongelea chochote Kwanza kama nchi yetu sote atwambie Polepole yuko wapi?
 
Mwigulu huyu huyu alisema tuamie Burundi ndo wa kuja kusema aya hana credibility ya kuongelea chochote Kwanza kama nchi yetu sote atwambie Polepole yuko wapi?
Nakubaliana na wewe kuhusu ubaya na uharamia wa kutekana ni mambo ya ovyo kabisa , kuhusu polepole hao wanajuan wana Siasa (sina maana watekaji wana haki ya kumteka) na ma ushenzi wanayofanyiana mie sipendi tabia ya kutekana hasa kwa watu ambao hawana athari zozote ktk jamii yetu,

Na sijasema chama dola ni kisafi ila nasema hata wengine nao hawana usafi huo kuanzia hao Chadema na hao kina TEC ( wanataka mgogoro uzidi kwa maslahi yao na kwa yale ya kitaifa wanajifanya kuyaweka mbele lkn hasa wanataka hawa kuingia madarakani kwa njia yoyote hata damu imwagine na wengine kuimarisha tawala zao za kiimani na mambo ya kidunia)
 
Mwingulu ni muhuni tu ambae alistahili kua jela kwa tunaomjua na uchafu wake leo unaweza kujifanya mzalendo Lakin hana uzalendo wowote ni mtu mwenye chuki kubwa sana na vyama vya upinzani unakumbuka Ishu ya Rwakatare na Ugaidi? Mambo ya Arusha 2013 huyu ni muhuni tu kama wahuni wengine ndo maana team mtandao wanamtumia
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒmtaongea kila lugha methali na nahau mtamaliza. Ila mfahamu kuwa watanzania hawawataki nyinyi, chama chenu , vyombo vyenu vya usalama. Mmeua Raia wengi mpaka watoto wa miezi 6. Halafu mnajifanya hamna kilichotokea. Bado hamjaona balaa linalokuja. Mlikua mnaona Raha kuua watu subiri hukumu inakuja.

Kwasasa niishie hapo
 
Anatuona sisi wote ni matako yake?
 
Rais samuya ameamua kujificha, majanga yake amemuachia Mwigulu a deal nayo.

Samuya ni hopeless la mahopeless.
 
Kumbuka rais samuya ni vampire mnywa damu, Mwigulu akionesha kumzidi umaarufu atafanyiwa alichofanyiwa Job Ndugai.
Mwigulu ndoto zake ni kuwa Rais 2030.Ni kama kaanza kampein mapema .Kusema ukweli Mwigulu anajibainisha kuwa tofauti kabisa na Samia. Na Samia atakuwa anaona wivu Mwigulu kuwa Popular.Nchimbi ndo kabiiisa .Let us see.Yajayo yanafurahisha.
I
 
Wewe acha mara moja kuandika andika mausenge yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…