Dkt. Mwigulu: Tuendelee kuliombea taifa na kudumisha amani

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨: π—§π—¨π—˜π—‘π——π—˜π—Ÿπ—˜π—˜ π—žπ—¨π—Ÿπ—œπ—’π— π—•π—˜π—” π—§π—”π—œπ—™π—” 𝗑𝗔 π—žπ—¨π——π—¨π— π—œπ—¦π—›π—” π—”π— π—”π—‘π—œ

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kuendelea kuliombea Taifa na kudumisha amani, akisema amani ni msingi unaowezesha wananchi, taasisi za dini na Taifa kwa ujumla kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo.

Amesema dunia inaendelea kushuhudia mabadiliko na mitikisiko katika maeneo mbalimbali, hivyo kuna umuhimu wa kuendelea kumwomba Mungu ailinde Tanzania na kuendeleza amani ambayo imeiwezesha nchi kutekeleza shughuli zake kwa utulivu.

Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumapili, Agosti 23, 2026) aliposhiriki ibada katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Usharika wa Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

β€œTuendelee kuiombea nchi yetu. Leo hii tunaweza kufanya ibada kwa sababu nchi yetu ipo na amani. Tuna mipango mbalimbali kama nchi, katika ngazi ya familia, taasisi, Dayosisi na Kanisa, lakini hayo yote tunaweza kuyafanya kama nchi yetu ipo na amani,” amesema.

Dkt. Mwigulu amewafikishia waumini salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Serikali kwa ujumla, huku akitambua na kuenzi mchango mkubwa unaofanywa na Kanisa katika maendeleo ya nchi.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za kidini katika kuhakikisha Tanzania inaendelea kusonga mbele.

β€œHauwezi ukataja maendeleo ya nchi yetu bila kutaja mchango wa Kanisa,” amesema.

Naye Katibu Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Bw. Goodluck Nkini, alimshukuru Waziri Mkuu kwa kuchagua kuabudu katika Usharika wa Kijitonyama na kwa kuendelea kujumuika na waumini katika maeneo mbalimbali.

Ibada hiyo iliongozwa na Mchungaji Anna Kuyonga wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Usharika wa Kijitonyama.

Viongozi wengine waliohudhuria ibada hiyo ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mhe. Aggrey Mwanri; Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya; Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila; Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule; Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. David Mathayo; na Mbunge wa Makete, Mhe. Festo Sanga.
 
Attachments

  • IMG-20260823-WA0079.jpg
    IMG-20260823-WA0079.jpg
    232.6 KB · Views: 12
  • IMG-20260823-WA0085.jpg
    IMG-20260823-WA0085.jpg
    259.9 KB · Views: 14
  • IMG-20260823-WA0081.jpg
    IMG-20260823-WA0081.jpg
    349 KB · Views: 13
  • IMG-20260823-WA0083.jpg
    IMG-20260823-WA0083.jpg
    286.9 KB · Views: 12
  • IMG-20260823-WA0075.jpg
    IMG-20260823-WA0075.jpg
    239.4 KB · Views: 14
  • IMG-20260823-WA0077.jpg
    IMG-20260823-WA0077.jpg
    394.1 KB · Views: 13
  • IMG-20260823-WA0073.jpg
    IMG-20260823-WA0073.jpg
    250.5 KB · Views: 10
  • IMG-20260823-WA0071.jpg
    IMG-20260823-WA0071.jpg
    257.9 KB · Views: 9
π——π—žπ—§. 𝗠π—ͺπ—œπ—šπ—¨π—Ÿπ—¨: π—§π—¨π—˜π—‘π——π—˜π—Ÿπ—˜π—˜ π—žπ—¨π—Ÿπ—œπ—’π— π—•π—˜π—” π—§π—”π—œπ—™π—” 𝗑𝗔 π—žπ—¨π——π—¨π— π—œπ—¦π—›π—” π—”π— π—”π—‘π—œ

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania kuendelea kuliombea Taifa na kudumisha amani, akisema amani ni msingi unaowezesha wananchi, taasisi za dini na Taifa kwa ujumla kutekeleza mipango mbalimbali ya maendeleo.

Amesema dunia inaendelea kushuhudia mabadiliko na mitikisiko katika maeneo mbalimbali, hivyo kuna umuhimu wa kuendelea kumwomba Mungu ailinde Tanzania na kuendeleza amani ambayo imeiwezesha nchi kutekeleza shughuli zake kwa utulivu.

Waziri Mkuu amesema hayo leo (Jumapili, Agosti 23, 2026) aliposhiriki ibada katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP), Usharika wa Kijitonyama, jijini Dar es Salaam.

β€œTuendelee kuiombea nchi yetu. Leo hii tunaweza kufanya ibada kwa sababu nchi yetu ipo na amani. Tuna mipango mbalimbali kama nchi, katika ngazi ya familia, taasisi, Dayosisi na Kanisa, lakini hayo yote tunaweza kuyafanya kama nchi yetu ipo na amani,” amesema.

Dkt. Mwigulu amewafikishia waumini salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Serikali kwa ujumla, huku akitambua na kuenzi mchango mkubwa unaofanywa na Kanisa katika maendeleo ya nchi.

Amesema Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi za kidini katika kuhakikisha Tanzania inaendelea kusonga mbele.

β€œHauwezi ukataja maendeleo ya nchi yetu bila kutaja mchango wa Kanisa,” amesema.

Naye Katibu Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Bw. Goodluck Nkini, alimshukuru Waziri Mkuu kwa kuchagua kuabudu katika Usharika wa Kijitonyama na kwa kuendelea kujumuika na waumini katika maeneo mbalimbali.

Ibada hiyo iliongozwa na Mchungaji Anna Kuyonga wa KKKT, Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Usharika wa Kijitonyama.

Viongozi wengine waliohudhuria ibada hiyo ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Mhe. Aggrey Mwanri; Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya; Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila; Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule; Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. David Mathayo; na Mbunge wa Makete, Mhe. Festo Sanga.
Aimen πŸ™
 
Wakatitunaliombea taifa na haki ionekane ikitendeka.
 
KKKT Wanapotea njia kwa kuyafanya makanisa yao kuwa kumbi za viongozi bandia wa serikali bndia.
LIcha ya Hayati Nyerere kuwa muumini mwaminifu wa Kanisa Katoliki ambaye hakukosa kuonekana kwenye ibada siku ya Jumapili, lakini hata siku moja hakuwahi kujitokeza Kanisani kuhutubia waumini. Kwake yeye, akiwa kanisani alikuwa mmumini wa kawaida, na hakutaka kulindwa na yeyote. Sasa hawa wa KKKT wameyafanya makanisa kuwa kumbi za mimutano ya watawala bandia!!
 
Back
Top Bottom