Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Wewe mpumbavu Mataga huelewi mfumo uliopo sasa na unaopendekezwa Kwa hiyo kaa kimya endelea kuomboleza.Hicho ni chombo rasmi cha kula rushwa, ufisadi, madili. Period!
Nchi imejaa idara nyingi ambazo hazina ufanisi wowoteHicho ni chombo rasmi cha kula rushwa, ufisadi, madili. Period!
Wapishi wengi huishia kuharibu mchuzi. Nilisikia JPM akisema, ^Imefikia hatua kwenye nchi yetu kamati inakaa kuunda kamati itakayokwenda kuchunguza tuhuma za kamati iliyochaguliwa ili kuchunguza ubadhirifu wa fedha uliofanywa na kamati fulani iliyopewa dhamani ya kuwahudumia wananchi.^Nchi imejaa idara nyingi ambazo hazina ufanisi wowote
SawaWapishi wengi huishia kuharibu mchuzi. Nilisikia JPM akisema, ^Imefikia hatua kwenye nchi yetu kamati inakaa kuunda kamati itakayokwenda kuchunguza tuhuma za kamati iliyochaguliwa ili kuchunguza ubadhirifu wa fedha uliofanywa na kamati fulani iliyopewa dhamani ya kuwahudumia wananchi.^
Kiwango hiki cha ujinga ndicho kinamfanya Elon Musk na SpaceX yake afanye jitihada day in and day out kuhamia Planet Mars.
Huna unalojua weweHicho ni chombo rasmi cha kula rushwa, ufisadi, madili. Period!