Dkt. Mwigulu: Tutabana Matumizi kwenye chai, vitafunwa, safari ndani na nje ya nchi na semina. Viongozi watumie usafiri wa pamoja ziarani!

In Magufuli voice,na bado sana lazima mtembelee nyota.yake,hakuna namna
 
About time. Ila mzungu siyo mtu mzuri. Kuwakusanya marais wa Afrika kwenye daladala iwe fundisho kwetu.
Hakuna cha mikogo mbwembwe fagia fagia kuwasulubu raia kusubiri sijuwi ving'ora sijuwi uonezi gani kwa raia HAKUNA! Mungu binadamu apite au sijuwi nini NO!
Wote ndani ya Coaster. Mama ae
 
Huyu jamaa anatuona sisi kama watoto!
yeye anatumia garu la 500M, halafu angalia anayotuambia!
Binafsi nasema tena, sijawahi kumuamini huyu mtu!
 
Hana haki yakusema watu wabane matumizi while yeye ndio mtumiaji namba moja. Days are numbered we know
 
Aanze na yeye kwenye hayo hasa kwenye Ziara moja
 
Vasco da Gama wa jinsia ya KE.
 
Kubana matumzi pia wabunge wakatwe kodi na kupunguza posho ya vikao kwenye bunge vikao vinavyochukua m,uda mrefu mfano bunge la bajeti ni karibu miezi minne badala ya kulipwa 300k walipwe 150k tu na mafuta wasiwekewe maana wanaishi pale pale.
Sasa hiyo ni roho mbaya
 
Kama serikali ikibana matumizi kwa kumaanisha maisha yatapungua makali kwa kiasi kikubwa kwetu sisi wananchi wa kawaida, wafute baadhi ya vyeo visivyokua na maana
Wakibana matumizi, biashara nazo zinakufa
 
Mwambieni na hili... wabunge wawe wanachama wa psssf baada ya kumaliza miaka mitano hujafanikiwa kurudi bungeni unaenda kuchukua chako badala ya mafao ya 200 milion kila mbunge

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Hata uso wake haukushabihiana na matamshi yake, hata ainisho la ubanaji bajeti amefanya mzaha hajaweka bayana maeneo muhimu yanayobeba pesa nyingi mfano ununuzi wa magari, na etc., He hasn't been that serious. Too much reading ndio usomi gani huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…