Dkt. Mwigulu: Tutabana Matumizi kwenye chai, vitafunwa, safari ndani na nje ya nchi na semina. Viongozi watumie usafiri wa pamoja ziarani!

amejifunza kutokana na msiba wa Malkia Magreth II jinsi viongozi walivyosafirishwa kwenye mabasi?
 
Nimekaa botswana , gari za serikali mitaani ni za kuzitafuta sana ,
Hapa kwetu Vxr R , 400plus millions umalikuta linazagaa tu kizembe , halafu tunabanana kwenye tozo.
Na botswana ni nchi iliyendelea si kama tanzania.kanchi kadogo lkn kama sera bora kabisa.wabotswana wengi wamesoma hapa tz pia kuna watz wengi wanafanya kazi kule karibu ktk kila idara wapo.
 
Wabane marumizi kwenye kuchukua mikopo yenye riba kubwa ambazo mwisho wa siku tozo zote zinazokusanywa zinaishia kulipa mariba matupu
 
Lini chai na vitafunwa vilikuwepo kwa watumishi, labda nyie mnaotumia viieite. Jibaneni wenyewe huko, wengine hiyo chai na vitafunwa hatujawahi kuviona na hizo safari za ndani na nje mnazo nyie wapanda viieite.
Kwani ni jukumu la wananchi kunywesha chai watumishi, chai si unywe kwa mkeo?
 
Hii ni danganya toto
 
Mkuu hata mimi nashanga sana, kweli Waziri wa Fedha anatafuta vyanzo vya mapato ya Serikali Kuu kupitia gharama za chai na vitafinwa kutoka ofisi za Umaa? Sasa Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa zatapataTUJITAFAKARI
Ni aibu sana. Halafu nasikia kanunuliwa VX mpya... Seriously.

Zambia kakwambia wanataka MaVeighty wajinunulie wenyewe kwa pesa zao. Mijamaa imekula vijijini inachunga ng'ombe leo inadai kuwa hadhi ya gari la Waziri, Mkuu wa Mkoa, Wilaya, DED ni VX..... Ushamba au ni Ulimbukeni tu.

Kama kweli wanataka kupunguza matumizi waanze na sitting allowance kwenye ngazi zote mpaka wabunge. Haingii akilini mtu alipwe sitting allowance kwa kazi anayolipwa mshahara. Pia serikali iachane na hayo MaVX Kuya fanya ni standard kwa kila mtu.
 
Mmmh we ndio nina walakini na ww, mm nilifanya field nssf shinyanga, chai ilikuwa ni juu ya ofisi. Hakuna aliekuwa ananunua kwa pesa yake
Wafanyakazi ndiyo walikuwa wanajichanga nyuma ya pazia ili nyie mnao wasaidia muweze kupata hata motosha kidogo.
HAKUNA FUNGU LA OFISI KWAAJILI YA CHAI YA WANAFUNZI WA FIELD NSSF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…