Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Kwa hiyo kafuta kauli ya Bi Kizimkazi kuwa hakuna wa 27K?
Mbona nchi hii ina mambo ya ajabu ajabu? Ndio maana wawekezaji genuine woote hawaji
Kwa akili gani walizonazo??๐Umeme ilitakiwa waunganishe bure ili wapate watumiaji wengi na kuongeza mapato yao. Wajifunze kwa makampuni ya Fibre.
Umeme ilitakiwa waunganishe bure ili wapate watumiaji wengi na kuongeza mapato yao. Wajifunze kwa makampuni ya Fibre.
Angesema RAIS kafuta kauli yake kasema irudi 27kImagine, Amri ya Raisi inafutwa na Waziri Mkuuu, Seriously?
Nchi isingekuwa na viongoxi wapumbavu basi ilitakiwa umeme kuunganishwa iwe sh 100000 si zaidi na kwa REA 40000 ...pia serikali ilitakiwa kuweka pesa ya taka kwenye unit ya umeme .๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ - ๐ช๐๐จ๐ก๐๐๐ก๐๐ฆ๐๐๐๐ก๐ ๐จ๐ ๐๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐ณ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea kuwaunganishia umeme wananchi kwa gharama ya Shilingi 27,000
Ametoa agizo hilo Oktoba 16, 2026, alipokuwa akizungumza na wananchi mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja.
Amesaini mahali hicho asemacho, ama ni kiki za jukwaani kisha ukienda Tanesco wanakushangaa?๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ - ๐ช๐๐จ๐ก๐๐๐ก๐๐ฆ๐๐๐๐ก๐ ๐จ๐ ๐๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐ณ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ