Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
hajafuta hiyo kauli, ukifatilia issue ya kuunganishwa umeme kwa 27K. kuna mambo mawiliKwa hiyo kafuta kauli ya Bi Kizimkazi kuwa hakuna wa 27K?
Mbona nchi hii ina mambo ya ajabu ajabu? Ndio maana wawekezaji genuine woote hawaji
Ndio, ndugu mteja kwa wale wa vijijini gharama za kuunganishwa umeme ni TZS 27,000/-.Wale wa REA au wote tu.?
Mbona huku mtaani mnakua wezi na matapeli? Pumbavu zenu nyie, uongo tuNdio, ndugu mteja kwa maana gharama za kuunganishwa ni TZS 27,000/-.
Asante. ^MY
mbona hata yeye kalemani alikua anatekeleza jambo hilo kwa kusuasua?Mchawi ni January Makamba na wizi wake, aliikuta wizara iko vizuri kabisa chini ya mbunge wa Chato Dr Kalemani kufika yeye tu na liupara lake akaanza mazingaombwe ya miradi ya upigaji na kufuta bei ya 27,000/=
Kasema kama nani waziri mkuu wa wapi? mbona huku njombe mwakavutwa hatumtambui pimbi huyo?Waache upumbavu, Wapitishe sheria mambo yawe kwenye maandishi, sio matamko tu ya kwenye mikutano.
Siasa hizo ndugu ....Ooh kumbe Magufuli was right, mbona mama alikuja akakanusha kwamba it's impossible kuunganishwa kwa 27k, nini kimetokea hadi leo 27k itoshe.
Hawa watawala wamekuwa watu wa ajabu sana.
Waache upumbavu, Wapitishe sheria mambo yawe kwenye maandishi, sio matamko tu ya kwenye mikutano.
Habari, ndugu mteja.Mhh si kuna clip ikionesha kwamba uanganishwaji umeme kwa bei hiyo haiwezekani kabisa, tulipotoshwa na sasa timejilidhisha huwezi kabisa unganishwa umeme kwa 27k.
Kwa maana gani, ndugu mteja ilituweze kutoa muongozo?Mbona huku mtaani mnakua wezi na matapeli? Pumbavu zenu nyie, uongo tu
Hamuono hata aibu, khaaah
Never ever mkuu! Utawala haramu upo madarakani kwa wizi na kumwaga damu.Siasa hizo ndugu ....
Angalau ndio mbinu ya kurejesha ushawishi kwa Umma uwaamini baada ya kile walichokitenda mwaka Jana
Mmemsikiliza waziri mkuu wenu alichosema!?Kwa maana gani, ndugu mteja ilituweze kutoa muongozo?
We mapazia unaitwa hukuKwa maana gani, ndugu mteja ilituweze kutoa muongozo?
Kauli ya Waziri Mkuu ni ya jumla akimaanisha wateja wote wanaohitaji umeme wanapaswa kulipia Tsh.27,000/= tu na si vinginevyoHabari, ndugu mteja.
Bei ya kuunganishwa umeme kwa 27,000/- inaruzuku ndani yake ya kuleta unafuu kwa wateja wa vijijni.
Asante. ^MY
hapa aliyepuyanga ni PM aidha kwa kujua au bila kujuaKauli ya Waziri Mkuu ni ya jumla akimaanisha wateja wote wanaohitaji umeme wanapaswa kulipia Tsh.27,000/= tu na si vinginevyo
Tafadhalini wekeni taarifa kwa umma kufafanua kauli yake kila mmoja aelewe
Habari,๐๐๐ง. ๐ ๐ช๐๐๐จ๐๐จ - ๐ช๐๐จ๐ก๐๐๐ก๐๐ฆ๐๐๐๐ก๐ ๐จ๐ ๐๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐ก๐๐๐ ๐๐ช๐ ๐ฆ๐๐๐๐๐ก๐๐ ๐ฎ๐ณ,๐ฌ๐ฌ๐ฌ
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuendelea kuwaunganishia umeme wananchi kwa gharama ya Shilingi 27,000
Ametoa agizo hilo Oktoba 16, 2026, alipokuwa akizungumza na wananchi mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja.
Mitaani gani hapo?320,000 last week nimeunganisha nyumba ya wapangaji TANESCO fafanueni nije kuchukua Chenji yangu