Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ni matusi kwa wazanzibari. Hakuna anayefaa! Sasa watajibu matusi haya kwenye chumba cha kupiga kura.
Mwinyi siyo Mzanzibari acheni kuwalazimisha wazanzibari wachague Raia wa nchi nyingineJamani tar 28 tusifanye mchezo agenda ni kumchagua Mwinyi tu huyo babu akatafute shughuli nyengine ya kufanya.
Rais hachaguliwi kisa baba yake aliwahi kuwa RaisRais achaguliwi kwa kigezo cha wingi wa ndevu
Sio chaguo la wazanzibari ,atakuwa kasimikwa kwa njia haramu za kishetani itabidi atawale kijeshi kwa gharama kubwa mno itakuwa mzigo kwa walipa kodiRais wa awamu ya sita (6) anayesubiri kuapishwa
Tar 27 ni kwa watumishi tu. Sie raia wa kawaida ni tar 28.Kura Wazanzibar wanapiga tare 27, tarehe 28 pia watapiga.
Hao wa Mkuranga ndio wazanzibari Halisi tupo nao huku kabla ya sultani.Kwanini asiende kufungua kampeni Mkulanga?
Zanzibar haijafikia kiwango Cha kuletewa wageni ili waje kutawaliwa.
Kwani wewe unavyojua Wazanzibar ni nani?Mwinyi siyo mzanzibar acheni kuwalazimisha wazanzibar wachague Raia wa Nchi ingine
Inaonekana umejipanga kuvuruga amani. Wewe huoni hilo shazi kwenye mikutano tuacheni Mwinyi ndio chaguo la wazanzibar.Endapo mwinyi atakuwa Rais Zanzibar mjue atakuwa chaguo la Mkoloni kaburu mweusi ni vigumu atawale kwa Amani
CCM Zanzibar wamekodiwa mgombea na Tanganyika.Kwasababu ccm zanzibar wamekodi mgombea toka mkuranga