Zanzibar 2020 Dkt. Mwinyi afunga kampeni Zanzibar

Zanzibar 2020 Dkt. Mwinyi afunga kampeni Zanzibar

Jamani tar 28 tusifanye mchezo agenda ni kumchagua Mwinyi tu huyo babu akatafute shughuli nyengine ya kufanya.
Mwinyi siyo Mzanzibari acheni kuwalazimisha wazanzibari wachague Raia wa nchi nyingine
 
Endapo Dkt. Mwinyi atakuwa Rais Zanzibar mjue atakuwa chaguo la Mkoloni kaburu mweusi ni vigumu atawale kwa Amani
 
Kwanini asiende kufungua kampeni Mkulanga?
Zanzibar haijafikia kiwango Cha kuletewa wageni ili waje kutawaliwa.
Hao wa Mkuranga ndio wazanzibari Halisi tupo nao huku kabla ya sultani.
 
Endapo mwinyi atakuwa Rais Zanzibar mjue atakuwa chaguo la Mkoloni kaburu mweusi ni vigumu atawale kwa Amani
Inaonekana umejipanga kuvuruga amani. Wewe huoni hilo shazi kwenye mikutano tuacheni Mwinyi ndio chaguo la wazanzibar.
 
Back
Top Bottom