GE2025 Dkt. Mwinyi apiga selfie na wapiga makachu Forodhani, aahidi kuwarasimisha

GE2025 Dkt. Mwinyi apiga selfie na wapiga makachu Forodhani, aahidi kuwarasimisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na vijana wa Makachu katika eneo la Forodhani, Unguja na kuwaahidi kuwa serikali itarasimisha rasmi kazi hiyo ili watambulikane kisheria.

Dkt. Mwinyi amesema vijana hao wamekuwa mabalozi wa kujitolea kuitangaza Zanzibar kitaifa na kimataifa kupitia kazi yao, hivyo kuna umuhimu wa serikali kuwatambua na kuwaunga mkono.

“Makachu ni kazi kubwa inayotangaza Zanzibar kwa njia ya kipekee. Nia yetu ni kuwarasimisha, kuwasajili na kuhakikisha mnafanya shughuli zenu kwa heshima na ulinzi wa kisheria,” alisema Dk. Mwinyi.

 
Wapiga makachu wakiwa wanaruka za mgadomgado kwenye simu unasema jamaa nomaa
 
Back
Top Bottom