PreGE2025 Dkt. Mwinyi atangaza kulivunja Baraza la Wawakilishi Agosti 13

PreGE2025 Dkt. Mwinyi atangaza kulivunja Baraza la Wawakilishi Agosti 13

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametangaza kuwa atavunja rasmi Baraza la Wawakilishi Zanzibar ifikapo Agosti 13, 2025, ili kuwezesha maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

Akihutubia leo Jumatatu Juni 23, 2025, Rais Mwinyi amesema: “Kwa mamlaka niliyonayo, kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ya 1984, napenda kutangaza kwamba Baraza la Wawakilishi nitalivunja rasmi Agosti 13, 2025.”

Kauli hiyo ilipokelewa kwa shangwe kubwa kutoka kwa Wawakilishi, waliokuwa wakiimba na kumpongeza Rais kwa uamuzi huo.

 
Mudrick yupo salama?
Yule wa utalii! Mtoto wa nje wa Philip mangula huyu
Naibu wazir w utalii
 
Muda huo utaendana na au kutoa uuwiano wa kuchukua fomu za kugombea na kampeni zao?
 
Back
Top Bottom