GE2025 Dkt. Mwinyi kuleta mradi wa Big Z kuongeza maduka ya kisasa kwa wafanyabiashara Zanzibar

GE2025 Dkt. Mwinyi kuleta mradi wa Big Z kuongeza maduka ya kisasa kwa wafanyabiashara Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Ali Mwinyi ameahidi kuleta Mradi mkubwa wa Big Z ambao utahusisha ujenzi wa maduka ya kisasa pamoja na uimarishaji wa barabara katika maeneo ya Mjini

Dkt Mwinyi ameeleza hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara katika eneo la Darajani ikiwa ni muendelezo wa kampeni zake kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

Dkt Mwinyi ameeleza pia ujio wa mradi mkubwa wa magari ya Umeme ambayo yatatumika kuletea abiria kutoka katika kituo kikuu cha Mabus cha Kijangwani kuleta abiria Mjini

Aidha amewahakikishia wafanyabiashara kuwa serikali yake itaendelea kutoa mikopo ya kuwawezesha wajasiriamali na Wafanyabiashara kuendesha shughuli zao za kiuchumi.

 
Back
Top Bottom