Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara, shule, viwanja vya michezo na kuboresha sekta ya afya endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa muhula mwingine.
“Sera mama katika awamu ijayo ya uongozi itakuwa ni kutengeneza ajira kwa vijana, tutatoa ajira serikalini, tutatoa ajira kwenye sekta binafsi ikiwamo viwanda lamini pia tutawapa mikopo isiyokuwa na riba”, ameeleza Dkt. Mwinyi. Alizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika Jimbo la Pangawe, Zanzibar