Uchaguzi 2020 Dkt. Mwinyi: Wajumbe wa Zanzibar waliotupigia kura ni 68 hata kama ni kweli wenzangu walipata 35 basi na mimi nilipata 33

Ameshafeli kama ameanza mapema kuingia kwenye huu mtego, CCM wanafanya makosa sana kuacha kura za visiwani zipigwe bara na wabara pia..

Kura za Urais Zenji zilipashwa zipigwe na wazenji tena wakiwa kisiwandui pale au bwawani hoteli, kura za wazenji kupigwa dom tena wapiga kura wengi wakiwa wabara ni dhahiri kunathibitisha wazenji hawawezi kujiamulia mambo yao wenyewe na kila kitu lazima kifanywe bara..

Wazanzibar simameni pamoja kuwaonyesha wabara nyie ni wazenji na Rais wenu lazima atoke zenji kwa kura za wazenji..

Rais wa Tanzania ni wa wote kwa maana ya Bara na Zenji hivyo kura lazima zipigwe na wote labda tulete serikali tatu, Zenji rais wao, bara rais wao na Tanganyika rais wake au zenji na bara ziwe na Mawaziri wakuu na Rais awe mmoja, au makamu wa Rais awe Rais wazenji na huku bara kuwe na waziri mkuu tu....
Umeshafeli nawewe. Lini umeshawahi kusikia Tanzania Bara tunapiga kura kumchagua Rais wa Zanzibar. Huu ni uteuzi ndani ya chama (CCM). Kumbuka Afro Shiraz na TANU ziliungana kikazaliwa Chama kimoja kinachoitwa CCM. Chama hiki hakina upande huu wala ule, isipokua nchi ndo ina Serikali mbili. Usichanganye mambo.
 
Sawa kabisa.
 
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa.

Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka Zanzibar.

Dkt. Mwinyi amewataka watanzania wawe wakweli badala ya kuzusha mambo yasiyo na tija yoyote.

Source Swahili times

Maendeleo hayana vyama!
Tufanye basi 35 kwa 33, bado si ishara nzuri kukataliwa na zaidi ya nusu ya wajumbe
 
Umeshafeli nawewe. Lini umeshawahi kusikia Tanzania Bara tunapiga kura kumchagua Rais wa Zanzibar. Huu ni uteuzi ndani ya chama (CCM). Kumbuka Afro Shiraz na TANU ziliungana kikazaliwa Chama kimoja kinachoitwa CCM. Chama hiki hakina upande huu wala ule, isipokua nchi ndo ina Serikali mbili. Usichanganye mambo.

Kama Rais ni wazanzibari kwanini wabara washiriki kumchagua ndani ya CCM, kwanini wazanzibar walioko CCM wasipige kura Zanzibar kuteua mgombea wao atakayegombea urais kupitia CCM Zanzibar?..

Mgombea URais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Zanzibar + Tanganyika) kupitia CCM anachaguliwa na wajumbe wote, hii imekaa sawa sasa kwanini mgombea Urais wa Zanzibar yenye watu wasiozidi 1m achaguliwe pia na wabara?
 
Mwinyi hatakiwi Zanzibar na baba yake Katia zaidi mchanga kwenye kitumbua kuhusu Marais kubaki madarakani......

Labda hussein atafute namna ya kukanusha alichosema kwani kimsingi kamsemea mwanae sio magufuli
 
Kama Rais ni wazanzibari kwanini wabara washiriki kumchagua ndani ya CCM, kwanini wazanzibar walioko CCM wasipige kura Zanzibar kuteua mgombea wao atakayegombea urais kupitia CCM Zanzibar?..

Mgombea URais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Zanzibar + Tanganyika) kupitia CCM anachaguliwa na wajumbe wote, hii imekaa sawa sasa kwanini mgombea Urais wa Zanzibar yenye watu wasiozidi 1m achaguliwe pia na wabara?
Unafeli tena. Mchakato ulianzia Zanzibar ukiwa na watia nia 32, yakapatikana majina matano yaliyochaguliwa na hao wazanzibar wenyewe kama unavyotaka. Then yakaletwa Kamati Kuu likapatikana jina moja ambalo lilithibitishwa na Halmashauri Kuu ya chama.
 
Kikokotoo cha Hali ya Siasa CCM ZNZ kufuatana na taarifa Mpya aliyotoa Dr. Hussein Mwinyi mgombea wa CCM ZNZ :

Swahili Times

Kura za CCM Zanzibar 68 - 33 = 35
% ya waliomkataa Mwinyi : 35/68×100= 51.47%

CCM Zanzibar 51.47% wamemkataa mgombea rasmi wa CCM Dr. Hussein Ali Hassan Mwinyi kuwania kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ 2020.

Maalim Seif akichukua 51.47 % ya wana CCM Zanzibar akichanganya na za upinzani, mwaka huu upinzani unaingiza Rais Ikulu ya Zanzibar 2020 ambaye siyo mwanaCCM.

Twende Maalim Twende mpaka Ikulu !
Ulipo Tupo , 2020 ni wa Upinzani ZnZ!
Itasaidia Upinzani kuwa na Sauti ktk Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (Tanganyika na Zanzibar )

Maendeleo ya Watu Hayana Chama !

...............................................................
14 Julai 2020
Dar es Salaam / Dodoma, Tanzania

LIVE: MAHOJIANO MAHSUSI KATI YA TIDO MHANDO NA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR KUPITIA CCM, Dr. HUSSEIN MWINYI

Mahojiano kati ya mgombea aliyechaguliwa kwa tiketi CCM kugombea Urais Zanzibar na kituo cha televisheni cha Azam cha Dar es Salaam, Tanzania.
Source : Azam TV
 
Unafeli tena. Mchakato ulianzia Zanzibar ukiwa na watia nia 32, yakapatikana majina matano yaliyochaguliwa na hao wazanzibar wenyewe kama unavyotaka. Then yakaletwa Kamati Kuu likapatikana jina moja ambalo lilithibitishwa na Halmashauri Kuu ya chama.

kwanini wazanzibar wasifanye mchakato wote na kuchagua mgombea wao kupitia kamati kuu ya wazanzibar baadala yake walete majina dodoma na kamati kuu yenye wanabara wengi kuliko wazenji ndio iamue Rais wa Zanznibar?
 
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dr Mwinyi amesema wajumbe wa Zanzibar waliowapigia kura walikuwa 68 na siyo 35 kama inavyovumishwa.

Mwinyi amesema hata kama ni kweli wenzake hawakupigiwa kura na wajumbe wa bara kitu ambacho hakiamini, bado yeye naye atakuwa amepata kura 33 kutoka Zanzibar.

Dkt. Mwinyi amewataka watanzania wawe wakweli badala ya kuzusha mambo yasiyo na tija yoyote.

Source Swahili times

Maendeleo hayana vyama!
Hii imewauma kis3ng33333

Na bado,huyu chuma ulete Wazanzibar watamuonesha rangi
 
68 - 33 = 35/68×100= 51.47%

CCM Zanzibar 51.47% wamemkataa mgombea rasmi wa CCM kuwania kuwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ 2020.

Maalim Seif akichukua 51.47 % ya wana CCM Zanzibar akachanganya na za upinzani, mwaka huu upinzani unaingiza Rais Ikulu ya Zanzibar 2020 ambaye siyo mwanaCCM.

Maendeleo ya Watu Hayana Chama !
We jamaa ni boya, hebu fanya hesabu hiyo hiyo uone Nahodha aliyepata 19 alikataliwa kwa kiasi gani, vipi kuhusu aliyepata kura 16 kwa hesabu zako alikataliwa kwa kiasi gani ha ha ha ha mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza.
Kinyanganyiro waliingia watatu ulitaka apate kura zote, huoni hizo kura walivizigawana kama ndio Demokrasia yenyewe!
Umekuwaje member wa jukwa hili tukufu na akili zako hizo mkuu za kukuwezesha kunanilii tu basi!
 
Je walimchagua jina lake liletwe kamati bara ni wajumbe wa Tanzania bara?
Kama Wajumbe wa Zenji walimpa kura , je walimpa kura ngapi?
 
We jamaa ni boya, hebu fanya hesabu hiyo hiyo uone Nahodha aliyepata 19 alikataliwa kwa kiasi gani, vipi kuhusu aliyepata kura 16 kwa hesabu zako alikataliwa kwa kiasi gani ha ha ha ha mnakuwa wapumbavu hadi mnapitiliza.
Kinyanganyiro waliingia watatu ulitaka apate kura zote, huoni hizo kura walivizigawana kama ndio Demokrasia yenyewe!
Umekuwaje member wa jukwa hili tukufu na akili zako hizo mkuu za kukuwezesha kunanilii tu basi!

Mchezo huu wa siasa hautakiwi hasira. Twende pamoja kwa kutumia takwimu hizi mpya Swahili Times .

Leo tumefanya tathmini kwa taarifa na data alizosema yeye mwenyewe Dr. Hussein Mwinyi.

Ni hesabu rahisi tu !

Hussein Mwinyi sina makundi ! Nimefanya Yote Mwenye, Hakuna Watu Walionipa Nguvu
Ni changamoto kukosa ushawishi kupitia makundi kama kweli unataka kufikia malengo ktk harakati za kisiasa

kwanini wazanzibar wasifanye mchakato wote na kuchagua mgombea wao kupitia kamati kuu ya wazanzibar baadala yake walete majina dodoma na kamati kuu yenye wanabara wengi kuliko wazenji ndio iamue Rais wa Zanznibar?
Hakuna Kamati Kuu ya Wa Zanzibar kuna Kamati Kuu ya CCM
 
Back
Top Bottom