Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Ukweli unabaki pale pale uchanganye au usichanganye
Msema ukweli ni mpenzi wa Mungu.....kila siku makanisani.Huyu ni dr myles munroe
Anaelezea madudu yaliyofanywa na dini...
sijaelewaMsema ukweli ni mpenzi wa Mungu.....kila siku makanisani.
Rafiki yake naye kwa wachungaji kulia.
Ni kawaida wapo kwene kichaa cha dini!!Wafia Dini hawawezi kukuelewa
Utaelewa tusijaelewa
Nimejifunza kitu kunaNi kawaida wapo kwene kichaa cha dini!!
ukifika hapo huelewi wala huambiliki
Kabiiiiiiiiiisa lo
ni sahihi, dini haijawahi kuokoa roho, pamoja na kwamba, as a matter of fact, ni ya muhimu kwa mambo ya kidunia kama ushirika na wenzako, kusaidiana katika matatizo, na kutukumbuka kufanya mema, ni platform tu ya kutukumbusha kufanya hivyo. however, hata kama tukikumbushwa hatuwezi kuishinda dhambi bila kuwezeshwa na Nguvu za Mungu, dini peke yake kama mfumo uliowekwa na wanadamu namna ya kumwendea Mungu haiwezi kukuokoa. Unahitaji personal relationship with God, a very personal one.Huyu ni dr myles munroe
Anaelezea madudu yaliyofanywa na dini.
Ukristu na Uislam.
Watu wenye dini ndio waovu kuliko viumbe wote dunian
View: https://youtu.be/rJvQ-eGOhkw?si=L9GSvl1Hhn1GfmXi
Kwenye kukumbusha kufanya Mema Sheria za Nchi ni bora kuliko Dini.ni sahihi, dini haijawahi kuokoa roho, pamoja na kwamba, as a matter of fact, ni ya muhimu kwa mambo ya kidunia kama ushirika na wenzako, kusaidiana katika matatizo, na kutukumbuka kufanya mema, ni platform tu ya kutukumbusha kufanya hivyo. however, hata kama tukikumbushwa hatuwezi kuishinda dhambi bila kuwezeshwa na Nguvu za Mungu, dini peke yake kama mfumo uliowekwa na wanadamu namna ya kumwendea Mungu haiwezi kukuokoa. Unahitaji personal relationship with God, a very personal one.
kwa wale ambao bado, unatakiwa kumkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako, uokoke manake, na umwombe Mungu akupe Roho Mtakatifu akusaidie katika maombi na kukuongoza kuishinda dhambi. Hii ni kwasababu, hata kama tunakuwa na dini, lakini hatufuati dini basi Neno la Mungu, Neno la Mungu kwanza na mapokeo ya dini baadaye kama yanaendana na Neno.
kwenu ninyi mnaoamini kuondoka kwenye dini moja ni dhambi, jueni kuwa hata Mungu hizo dini zenu hazitambui, anamtambua Yesu Kristo tu kama kafara, mfano, wewe mkatoliki tukisema okoka hiyo dini ya ukatoliki haiokoi ila Yesu anaokoa, au wewe mlutheran, mumorovian au angalican au muislam, tukisema acheni kufuat amapokeo ya wanadamu yasiyo ndani ya Neno la Mungu, msifikiri kuiacha dini yenu ni dhambi, hapana, dini haimfikishi mtu mbinguni, ila Wokovu ndani ya Yesu Kristo.
hata walokole (ambako mimi nipo TAG, EAGT, PENTECOSTS n.k), kama upo huku lakini matendo yako ni machafu usifikiri kuwepo ndani ya dini kutakuokoa, never. Mungu anaangalia roho, na hadanganyiki.
Mhh! HowBaada ya kosa la nuhu la kulewa na kulaani watoto ndipo macasino yakazaliwa hapo. NK
sheria za nchi ni za wanadamu, haziokoi roho, na hata sheria za nchi ni Mungu anatusaidia, zingekuwa zinasaidia magereza yangekuwa meupe, askari magereza wangekosa kazi, polisi wangekosa kazi, wanasheria wangelala njaa, mahakimu na majaji wangekosa kazi. hazisaidii ndio maana ukienda mahakamani kuko busy asubuhi hadi jioni. Sheria ya Mungu, kwa maana ya Sheria ya rohoni ndio inaokoa na kufanya mtu abadilike kabisa.Kwenye kukumbusha kufanya Mema Sheria za Nchi ni bora kuliko Dini.
Si umeona papa anavyofanya marekebisho?dini ni nzuri ila zinahitaji marekebisho kulingana na wakati tulio nao.
Huyu ni Dkt. Myles Munroe
Anaelezea madudu yaliyofanywa na dini.
Ukristu na Uislam.
Watu wenye dini ndio waovu kuliko viumbe wote dunian
View: https://youtu.be/rJvQ-eGOhkw?si=L9GSvl1Hhn1GfmXi
Kuna mengi sana ndugu, kiufupi nguvu za giza ni nguvu za muumba alizoachia kwa waliotumwa (mitume na manabii) zilipoibiwa zikageuzwa kinyume nae.Mhh! How