Dkt. Myles Munroe: Dini siyo suluhu ya matatizo ya binadamu

Hahahaa nguvu za kilimo zikaenda kwa Ibilisi?
 
Nampenda Myles. Huwa nasikitikakwamba nimeanza kumjua na kumfuatilia akiwa tayar ameshakufa. Namsikiliza sana haiwez pita siku .

Na hata leo nimenunua kitabu chake chenye title ya "DISCOVER YOUR POTTENTIAL".

Kwa mtu mwenye mahaba ya DINI (yoyote) hawez kumkubali Myles Monroe
 
Who is that?
 
Hahahaa nguvu za kilimo zikaenda kwa Ibilisi?
Sio kilimo tu, hujasoma (luka 4:5-7) ibilisi akimtambia Yesu uumbaji wote ni miliki yake amsujudie ampe na Yesu hakubisha sababu ni kweli uumbaji ulikuwa kwenye uteka either unajua ama hujui.

Ndo maana Muumba akasema mwisho (1korintho15:24-28) ukifika utakabidhi kwake kila kitu mamlaka,nguvu, ufalme na umiliki, maana sharti amiliki yeye.
 
Hao wako kwene kichaa cha dini
 
ohooo
 
Afu jamaa kafa kifo kibaya na familia yake
Yah, his private jet crush. Ni yeye na mkewe i think pamoja and his subordnate ministers of the church.

Nafikiri watakua walimtengeneza maana jamaa alikua anapiga spana viongozi woote dunia nzima pale wanapozingua, kuanzia Pope, american presidents, israel and the rest of africa.

He was too real.
He changed me.
Personally nimeanza kumjua nikiwa katika kipind nime give up kuhusu hiz dini baada ya kuziona hazina maana yoyote wala msaada kiuhalisia kwenye maisha ya mwanadamu hasa katika kumtoa katika hali duni ya maisha.

Nilipomsikiliza nikaona he was talking what i was already doubting, i became interested. Amenifanya kusoma upya Bible katika different perspective, and i am seeing things in there that i didnt see before
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…