Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwa heshima ya J.K.Nyerere tafadhali hakuna kiongoz wa saa anafaa hata kufunga kamba za viatu za huyu mzee.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania, na kuwa Rais Samia anatamani maono na mapenzo ya Baba wa taifa yaendelee kudumu na kuwepo kwa mshikamano katika taifa.
Dkt. Nchimbi ameyasema hayo leo Aprili 24, 2025 wakati akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa CCM mara baada ya kutembelea ujenzi na upanuzi wa majengo katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo wilayani Butiama mkoani Mara, likiwemo jengo la utawala, ujenzi ambao unagharimu zaidi ya bilioni 100.
Amesema kuwa uamuzi wa Rais Samia kutekeleza ilani ya CCM na kukubali kujenga chuo hicho unaonyesha dhamira yake njema ya kuiendeleza sekta ya kilimo nchini pamoja na umuhimu wake, hivyo ni sehemu ya kuenzi farsafa na mawazo ya Baba wa taifa.
"Baba wa taifa alitaka kilimo kiendelee kuwa ukombozi pekee kwa watu wetu, tuwe na kilimo cha kisasa chenye tija na kuongeza thamani kwa mtanzania, na tuwe na wasomi wanaotumikia taifa letu,.. tunawashukuru wote walioanzisha wazo la kuwa na chuo hiki, na viongozi wote waliosimamia ilani.
Wajinga nyie!Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema falsafa ya 4R ya Rais wa Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeakisi sawa sawa tabia ya Mwalimu Nyerere katika dhamira na namna ya kuliongoza taifa la Tanzania, na kuwa Rais Samia anatamani maono na mapenzo ya Baba wa taifa yaendelee kudumu na kuwepo kwa mshikamano katika taifa.
Dkt. Nchimbi ameyasema hayo Aprili 24, 2025 wakati akizungumza na wananchi pamoja na wanachama wa CCM mara baada ya kutembelea ujenzi na upanuzi wa majengo katika Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo wilayani Butiama mkoani Mara, likiwemo jengo la utawala, ujenzi ambao unagharimu zaidi ya bilioni 100.
Amesema kuwa uamuzi wa Rais Samia kutekeleza ilani ya CCM na kukubali kujenga chuo hicho unaonyesha dhamira yake njema ya kuiendeleza sekta ya kilimo nchini pamoja na umuhimu wake, hivyo ni sehemu ya kuenzi farsafa na mawazo ya Baba wa taifa.
"Baba wa taifa alitaka kilimo kiendelee kuwa ukombozi pekee kwa watu wetu, tuwe na kilimo cha kisasa chenye tija na kuongeza thamani kwa mtanzania, na tuwe na wasomi wanaotumikia taifa letu,.. tunawashukuru wote walioanzisha wazo la kuwa na chuo hiki, na viongozi wote waliosimamia ilani.
View attachment 3314967
Nchimbi hajawahi kuwa kiongozi, kinachomsaidia ni Waganga, kwao ni SongeaHuyu mzee wanzo nilidhani ana akili timamu kumbe ni yaleyale
CCM ni washirikina haswaNchimbi hajawahi kuwa kiongozi, kinachomsaidia ni Waganga, kwao ni Songea
Bila Waganga ni vigumu Nchimbi kuwa kiongoziDuh aiseee