Dkt. Nchimbi adaiwa kuonekana Dubai, mapumzikoni. Je ni yeye au picha za AI?

Sawa kaamua kukaa kimya ina maana hata kusali hasali tena,au alikuwa mapumzikoni huko ulaya ndio anarudi,au ndio kahama nchi kabisa?ila kama yuko hai yote kheri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…