Dkt. Nchimbi adaiwa kuonekana Dubai, mapumzikoni. Je ni yeye au picha za AI?

Dkt. Nchimbi adaiwa kuonekana Dubai, mapumzikoni. Je ni yeye au picha za AI?

1793025900459.png


Picha inasema AL content, halafu heading inauliza kama n i AL. Tumieni basi walau Darubini wakagti mwingine.
 
Ila wabongo hawafanyi utafiti. Picha inaonesha ni ya 2024.
 
CCM NI GENGE UWONGOOOOO HUU
 

Attachments

  • IMG-20261026-WA0006.jpg
    IMG-20261026-WA0006.jpg
    69.7 KB · Views: 5
Hizi ni propaganda za kuhamisha upepo, na hizi ni habari za kupika...
Hizo picha ni full AI...

Hii picha, hayo ni meno? Ama ndevu? Kama ni meno hapa AI imeteleza...
View attachment 3699004


Huo mkono haupo sahihi ulivyokaa na jinsi ulivyoshika simu...
View attachment 3699008

Hiko kidole kimekatika ama kimeenda wapi? , na hata hiko kidole gumba AI imeteleza hapo.., hakuna kidole gumba kimekaa hivyo , Hii ni AI...
View attachment 3699010


Hizi picha ni AI...
chukua hizo picha weka ktk metadata utapata jibu unalotaka
 
Hio picha ni ya AI...
Kuwepo hayo maandishi yakisomeka 2024, haimaanishi kwamba si AI...

Imechukuliwa picha ya hayo mazingira ya 2024, waka edit na kumuweka Nchimbi humo...
hahahaha picha halisi, ya 2024hiyo ila uzuri mnajaa kwenye 18 zao ,wanavyotaka ndio hivi mbishane yenyewe au si yenyewe
 
Back
Top Bottom