Aisee umewaza kama mimi..Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
View attachment 3635904
Jichanganye, umemsahau aliyepo sasa alikuwaje mwanzoni na sasa yupojenI YEYE kabisa, anazidi kuwa karibu na wananchi, tutamsamehe dhambi zake zote
Kama namuona Samia na Wasira wanavyomsagia meno kwa hasira.Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
View attachment 3635904
CCM ni walewale mzee hata Samia kabla ya madaraka alikua mwema na alipingana sana na Jiwe ila baadae amekua zaidi ya Jiwe.nI YEYE kabisa, anazidi kuwa karibu na wananchi, tutamsamehe dhambi zake zote
Hiyo ni AI vijana toka Lumumba tumegunduaSiongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
Inatakiwa tuishi nao kimachale machalesijawahi kuwaamini hawa ccm kamwe
4 Rs zulikua ni utapeliJichanganye, umemsahau aliyepo sasa alikuwaje mwanzoni na sasa yupoje
Kama namuona Samia na Wasira wanavyomsagia meno kwa hasira.
NI YEYE.Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya