antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Anatamani arudi tu kule hifadhi ya Gombe akajilie matunda pori yakeWasira tena?🤣🤣🤣🤣
Mimi simuamini huyu kiumbe lazima kuna ka mkakati fulani.nI YEYE kabisa, anazidi kuwa karibu na wananchi, tutamsamehe dhambi zake zote
Hilo lipo kwani ndani ya ccm ukiwa mkweli basi utaonekana ni msaliti na mpinzani.Anachoongea ni sahihi kiuzalendo, ila anakosa mikakati ya ushindi.
Kwa ccm ili wakuteue inatakiwa ufiche makucha kwanza, wasijue maoni na misimamo yako. Huyu wenzake watamuona hafai
No ni janja janja zao mana Samuya kesha kataliwa na serikali yake, sasa huyu wanamtuma kivile ili kunusuru mambo. Ukiona hivi kunapambazuka!nI YEYE kabisa, anazidi kuwa karibu na wananchi, tutamsamehe dhambi zake zote
I second you!!WANAWACHEZEA AKILI
UPINZANI MNATAFUTWA
Na tapeli mkuu atundikwe mtini. Viongozi wazembe wasipewe mafao yao 'hii iwekwe kwenye katiba mpya'4 Rs zulikua ni utapeli
Hatuna sababu ya kumtilia mashaka. Kama ilivyo kwa mzee wetu Jaji Warioba, Dr. Nchimbi ni miongoni mwa makada wa CCM wanaojulikana kwa kusimamia wanachokiamini.Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
Mnataka kudanganyika tena ?Siongezi mengi sana ila Wacha nisikilize mawazo yenu watanzania.
Soma Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya
Ni zao la october 29 au umelisahau hilo ?Hatuna sababu ya kumtilia mashaka. Kama ilivyo kwa mzee wetu Jaji Warioba, Dr. Nchimbi ni miongoni mwa makada wa CCM wanaojulikana kwa kusimamia wanachokiamini.
Mtakumbuka akiwa mjumbe wa kamati kuu, alitangaza hadharani kujitenga na uamuzi wa kamati kuu uliomuengua Mh. Lowasa kugombea urais.
Tofauti na wabunge wengi ambao wao kustaafu ni eirher ashindwe uchaguzi au afariki, Dr. Nchimbi, alitangaza kustaafu kugombea ubunge kwa hiari baada ya kuwa mbunge kwa vipindi viwili.
Akiwa katibu mkuu wa CCM, alipiga marufuku wimbo wa CCM unaosema, "Wapinzani, tuwalete, tuwachanechane, tuwatupe" Aidha ndie kiongozi pekee aliyemkemea, kada wetu wa UVCCM aliyewaambia polisi, "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi msiwatafute"
Sina mashaka kuwa ni hii misimamo yake ndiyo iliyopelekea amebatizwa jina la YUDA.
Nimekubali maneno yako kiongozi,Wacha Sasa tusubirie reaction kutoka kwa wenye mamlaka zaidi yakeHatuna sababu ya kumtilia mashaka. Kama ilivyo kwa mzee wetu Jaji Warioba, Dr. Nchimbi ni miongoni mwa makada wa CCM wanaojulikana kwa kusimamia wanachokiamini.
Mtakumbuka akiwa mjumbe wa kamati kuu, alitangaza hadharani kujitenga na uamuzi wa kamati kuu uliomuengua Mh. Lowasa kugombea urais.
Tofauti na wabunge wengi ambao wao kustaafu ni eirher ashindwe uchaguzi au afariki, Dr. Nchimbi, alitangaza kustaafu kugombea ubunge kwa hiari baada ya kuwa mbunge kwa vipindi viwili.
Akiwa katibu mkuu wa CCM, alipiga marufuku wimbo wa CCM unaosema, "Wapinzani, tuwalete, tuwachanechane, tuwatupe" Aidha ndie kiongozi pekee aliyemkemea, kada wetu wa UVCCM aliyewaambia polisi, "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi msiwatafute"
Sina mashaka kuwa ni hii misimamo yake ndiyo iliyopelekea amebatizwa jina la YUDA.
Hatuna sababu ya kumtilia mashaka. Kama ilivyo kwa mzee wetu Jaji Warioba, Dr. Nchimbi ni miongoni mwa makada wa CCM wanaojulikana kwa kusimamia wanachokiamini.
Mtakumbuka akiwa mjumbe wa kamati kuu, alitangaza hadharani kujitenga na uamuzi wa kamati kuu uliomuengua Mh. Lowasa kugombea urais.
Tofauti na wabunge wengi ambao wao kustaafu ni eirher ashindwe uchaguzi au afariki, Dr. Nchimbi, alitangaza kustaafu kugombea ubunge kwa hiari baada ya kuwa mbunge kwa vipindi viwili.
Akiwa katibu mkuu wa CCM, alipiga marufuku wimbo wa CCM unaosema, "Wapinzani, tuwalete, tuwachanechane, tuwatupe" Aidha ndie kiongozi pekee aliyemkemea, kada wetu wa UVCCM aliyewaambia polisi, "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi msiwatafute"
Sina mashaka kuwa ni hii misimamo yake ndiyo iliyopelekea amebatizwa jina la YUDA.
Wachache watakuelewa.WANAWACHEZEA AKILI
UPINZANI MNATAFUTWA
Mkuu Al Watani, umegonga ndipo na umeweka nukta pale palipostahili! Hakika umemrudisha Dr Adam Francis darasani mchana kweupe.Ni zao la october 29 au umelisahau hilo ?