Pre GE2025 Dkt. Nchimbi aonya makundi yanayoanza kuibuka ndani ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho.

Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo vinaweza kuathiri chama kuelekea kwenye chaguzi zijazo.

Balozi Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na Baraza la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT.

Source: ITV Habari

WhatsApp Image 2024-01-15 at 2.08.41 PM.jpeg
Soma zaidi: Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!
 
Yeye mwenyewe ni kundi la wapinga maendeleo, wale waunga mkono ufisadi wale kindakindaki walisambaza hela za lowassa ili ashinde ili ashinde urais. Kweli kuna makundi. Kuna kundi la wazalendo watetezi wa umma na utawala wa haki, watetezi wa itikadi ya ccm ya ujamaa na kujitegemea dhidi ya wale wanajidai utawala wa sheria na uhuru wa mahakama badala ya utawala wa haki wakati mahakama wamejaa wanasheria wauza haki.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho.

Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo vinaweza kuathiri chama kuelekea kwenye chaguzi zijazo.

Balozi Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na Baraza la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT.

Source: ITV Habari

Soma zaidi: Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!
Hivi hawa hawawezi kupata mtu kama Mangula? Yule alikuwa anaongea kwa vitendo na si maneno ya akina nchimbi haya. CCM ikiendelea hivi itakuwa dhaifu toka wakati hadi wakati. Please watch! chukua hatua kali kwa waleta makundi.
 
Kwani wanachoogopa Kutoa Fomu nyingi ya Urais watu wagombee wajumbe waamue ni nini
 
kachagua kundi la losers
CCM makundi yanaanzia Taifa mpaka tawi. Tunayasikia pia tunayaona, yetu macho acha waparurane wamalizane. Tumewachoka mpaka mawakili mamuluki wa kukibeba chama wamepigwa chini. Tunasubiri mapokezi ya Mwabukusi Mbeya. Wasisite kutuambia anakuja lini
 
Adam Kimbisa naye alikuwa huko team Lowassa, sasa ana mrithi Kinana.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho.
Huyu jamaa usomi wake unatia shaka, makundi hayavunjwi kwa maagizo, makundi huvunjwa kwa kuwa na mfumo bora wa kiuongozi unaopelekea self attitude change or adjustment
 
Back
Top Bottom