Pre GE2025 Dkt. Nchimbi aonya makundi yanayoanza kuibuka ndani ya CCM

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi aonya makundi yanayoanza kuibuka ndani ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hadi sasa Tanzania watu waliochangia kuharibu jamii yote ni Kikwete,Nchimbi, na Lowasa Hawa .Makundi ya kumpata kiongozi yeyote Tanzania hayakuwepo kabla ya hapo lakini Kikwete na Lowasa walipotaka kuwa viongozi hasa nafasi ya Rais waliandaa makundi Yao nchi nzima na kuyabatiza team Lowasa,team Kikwete baada ya Kikwete kushinda ndipo ccm wakaona tuhararishe kuwa na makundi ambayo athari zake zimeendelea kuwatafuna watanzania Hadi leo ,mtu wa kwanza kumpata athari hizo ni mwenyewe Kikwete akafuata nchimbi na Lowasa ,ndipo akapatikana nduli Joni Magufuli ,sasa tunaona Hadi wamezaa chawa ambao wanatafuna taifa ,kwa hiyo nchimbi atubuuu kwanza ndio akemee wenzake
 
Back
Top Bottom