johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Baadae Lowassa akahamia Chadema 😀Makundi hayakwepeki, Ndio maana 2015 yeye na Sophia Simba walikuwa Team Lowassa
Hawezi kukujibuBaadae Lowassa akahamia Chadema 😀
Chacha Wangwe alipoanzisha team yake dhidi ya Mbowe "mkam guillotine"! Ahahahahaha!!!Makundi hayakwepeki, Ndio maana 2015 yeye na Sophia Simba walikuwa Team Lowassa
Yeye mwenyewe ni kundi la wapinga maendeleo, wale waunga mkono ufisadi wale kindakindaki walisambaza hela za lowassa ili ashinde ili ashinde urais. Kweli kuna makundi. Kuna kundi la wazalendo watetezi wa umma na utawala wa haki, watetezi wa itikadi ya ccm ya ujamaa na kujitegemea dhidi ya wale wanajidai utawala wa sheria na uhuru wa mahakama badala ya utawala wa haki wakati mahakama wamejaa wanasheria wauza haki.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho.
Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo vinaweza kuathiri chama kuelekea kwenye chaguzi zijazo.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na Baraza la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT.
Source: ITV Habari
Soma zaidi: Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!
Nje ya madaChacha Wangwe alipoanzisha team yake dhidi ya Mbowe "mkam guillotine"! Ahahahahaha!!!
Hivi hawa hawawezi kupata mtu kama Mangula? Yule alikuwa anaongea kwa vitendo na si maneno ya akina nchimbi haya. CCM ikiendelea hivi itakuwa dhaifu toka wakati hadi wakati. Please watch! chukua hatua kali kwa waleta makundi.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho.
Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo vinaweza kuathiri chama kuelekea kwenye chaguzi zijazo.
Balozi Dkt. Nchimbi ametoa maagizo hayo jijini Dodoma wakati akizungumza na Baraza la Taifa la Jumuiya ya Umoja wa wanawake wa Chama Cha Mapinduzi UWT.
Source: ITV Habari
Soma zaidi: Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!
Witness pleaseChacha Wangwe alipoanzisha team yake dhidi ya Mbowe "mkam guillotine"! Ahahahahaha!!!
Samiayeye nchimbi mbona hasemi yupo kundi gani?
kachagua kundi la losersSamia
CCM makundi yanaanzia Taifa mpaka tawi. Tunayasikia pia tunayaona, yetu macho acha waparurane wamalizane. Tumewachoka mpaka mawakili mamuluki wa kukibeba chama wamepigwa chini. Tunasubiri mapokezi ya Mwabukusi Mbeya. Wasisite kutuambia anakuja linikachagua kundi la losers
Huyu jamaa usomi wake unatia shaka, makundi hayavunjwi kwa maagizo, makundi huvunjwa kwa kuwa na mfumo bora wa kiuongozi unaopelekea self attitude change or adjustmentKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho.
we ni mtoto wa shule kafanye homeworkChacha Wangwe alipoanzisha team yake dhidi ya Mbowe "mkam guillotine"! Ahahahahaha!!!