Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyu Mzee naye, anavyotamba. Mbona mnawapiga pini wapizani wenu wakubwa kama nyinyi mnajiamia na mnauwezo wa kuongoza nchi?
Tuone nafasi muone balaa lake
================
Mgombea mwenza wa urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kina uzoefu wa kuongoza nchi na vyama vingine vinaweza udiwani na au ubunge.
Amempongeza mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo makubwa aliyoyafanya katika maeneo mbalimbali.
Dk Nchimbi amesema hayo leo Jumatano, Septemba 24, 2025 katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu, uliofanyika Uwanja wa Polisi, Makambako, Mkoa wa Njombe.