PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inaamini Maisha ya Watanzania ni Kipaumbele kuliko kitu chochote!

PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM inaamini Maisha ya Watanzania ni Kipaumbele kuliko kitu chochote!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu

Mmesikia hili la CCM kwa Wananchi?

==

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Mgombea Mwenza Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewashukuru wana CCM kwa kuendelea kukiunga mkono cham hicho na ushiriano wanaoutoa katika utekelezaji wa ilani yake.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Balozi Dkt. Nchimbi amesema hayo akiwa njiani kuelekea Wilaya ya Nyasa katika Mkutano wake wa Hadhara akiwa katika ziara ya kikazi ya siku nne mkoani Ruvuma na kusema kuwa ni CCM pekee ambapo huwezi kukuta mtu anasema liwalo na liwe na kwamba nia ya chama hicho ni kuendelea kuwainua wananchi wake.

 
kibao.jpg
Deusdedith-Soka-e1724914476663.jpg
 
Back
Top Bottom