Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akili za, ccm kama za, maamposa, kila kitu kwao ni miujiza tu, hakuna strategic planning, kama haya ya samia na ccm. Yake ni miujiza! Sasa vitu anavyofanya Eron Musk, si tutasema ni mdogo wake yesu!
Stupid ccm
 
Moja ya kazi nzuri iliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Kupitia Wizara ya Kilimo ni kuanzisha Tanzania Merchandise Exchange Kwa Ajili ya mazao.

Hakuna Dalali Wala kuonea mkulima tena 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DD83P7_i3it/?igsh=b2VsajN6OWkzdXIy
Serikali imeanza na mazao ya kimkakati kabla ya kuyafikia mazao yote 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DD3x7b-iaM3/?igsh=OXVtZzFtM2c3d2Zm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…