ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa hawakawii kusema hakuna kinachoendelea 😂😂.Safi sana Variables, unafanya kazi ngumu ya kuweka wazi nini kinachofanywa na serikali katika jukwaa huru lililojaa wapingaji wengi wa kazi inayofanywa kwa nia ya kuiinua Tanzania.
Unahitajika ujasiri na kutokata tamaa, safi sana.
Huwa hawakawii kusema hakuna kinachoendelea 😂😂.
Niko hapa kuwaonesha 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DHMST5oN0Le/?igsh=MW9paWVvbnRqcmdxMQ==