ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Ni mwaka gani mlikuwa hai?Lakini wananchi wako hoi, ajira hakuna, mishahara kiduchu, gharama kubwa za matibabu, elimu, bei za vyakula ziko juu...au haya siyo muhimu?
Mama mitano tena!
Nadhani ingekuwa vyema mafanikio yake yangepiga kelele zaidi kuliko hizi PA. Wahenga walisema kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza.