Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)


ongelea Zanzibar kumbe nilifikiri anaongea Tanzania nzima maana umasikini bado ni mkubwa sana ruhswa kubwa, hakuna haki, mikataba ya siri.
 
Hizo zote ni propaganda za banana republic wanazosimuliwa wanyonge wasio na uwezo wa kupambanua vigezo halisi vya maendeleo. Ni watu wenye weak minds tu ndio wanaokoshwa na vitu vya “kudolishwa”!

Ingia kwenye maktaba za WB, IMF, UN, AfDB, EIU, WEF, n.k. utuonyeshe Tanzania iko wapi kwenye kila kigezo muhimu cha maendeleo na ubora wa maisha ya wananchi wake toka Rais unayemsifia aingie madarakani hadi leo. Unaweza pia kuweka kwa maRais wote wa CCM. Sio hizi bla bla zilizojaa ufisadi wa kufuru.
 
Unadhani hao unadhani wameendelea hawakufanya haya tunayofanya sasa?

Acha wivu na ujinga

View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1891862378096037987?t=CtuaV1AJ23G-qGcPDO9X2Q&s=19
 
ongelea Zanzibar kumbe nilifikiri anaongea Tanzania nzima maana umasikini bado ni mkubwa sana ruhswa kubwa, hakuna haki, mikataba ya siri.
Kwa mfano wewe nyumbu umekosa Haki gani?

Ni lini mlikubalina kwamba SSH atamaliza umaskini wenu?

Ni lini na wapi mikataba huwekwa wazi?Leta hata mmja tuusome hapa.

Kama Kuna rushwa harafu Kuna maendeleo kama hayo unayoona Kuna shida gani?

Mtu mzima hovyo chuki zitakupoteza mapema sana.

View: https://x.com/rodgers_adai/status/1891854988554518649?t=M1oelhpWL4HoS8skVTjYfw&s=19
 
Unadhani hao unadhani wameendelea hawakufanya haya tunayofanya sasa?

Acha wivu na ujinga

View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1891862378096037987?t=CtuaV1AJ23G-qGcPDO9X2Q&s=19
Orodha ya miradi ambayo maelezo yake kamili hayawekwi wala kuthibitishwa na mifumo thabiti ya kitaifa na kimataifa ni kama porojo za mitaani tu.

Waingereza wanasema “the devil is in the details”. Hiyo miradi imejaa ufisadi na ufujaji mkubwa wa pesa za umma. Ripoti za CAG kila mara zinaanika wizi mkubwa katika shughuli za serikali.

Impact ya shughuli za maendeleo nchini katika ukuaji wa uwekezaji, ajira, uwezo wa kiuchumi wa wananchi, na ubora wa maisha yao kwa ujumla ni almost negligible.

Halafu mnatuletea stori za miujiza kama vile mnatoa zile shuhuda za kwa Mwamposa na kwa kuhani Musa zinazoandamana na kupunga mapepo. You guys need to at least respect our intelligence. We’re not that dumb.
 
Mifumo ipi hiyo ambayo imeundwa Kwa kazi ya kuthibitisha miradi? 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGQQr8bMOMd/?igsh=eW92cjM1Z3V4cDl6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…