GE2025 Dkt. Nchimbi: Majeshi yetu ni imara kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake!
==================
“Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha vyombo vya ulinzi kwa kuongeza idadi ya waajiriwa wapya, mafunzo, vitendea kazi na mbinu za kivita. Leo majeshi yetu ni imara kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu,” amesema Dkt. Nchimbi

Amesema hayo yote akihutubia mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Mpira Kigwa, Kijiji cha Kigwa B, Jimbo la Igalula, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora, Dkt. Nchimbi leo Oktoba 6

Majeshi yetu ni imara, ndiyo sababu yatashirikiana na waTanzania kuwaondoa waovu madarakani.
Asilisahau hilo huyu mtumiwa kama kikaratasi cha uchafu chooni.
 
Mmemsikia Nchimbi! Akiendelea kufanya unafiki wake!
==================
“Katika kipindi cha miaka hii minne na nusu, serikali ya CCM imeweza kusimamia usalama na amani ya nchi yetu. Imeimarisha vyombo vya ulinzi kwa kuongeza idadi ya waajiriwa wapya, mafunzo, vitendea kazi na mbinu za kivita. Leo majeshi yetu ni imara kuliko wakati mwingine wowote katika historia ya nchi yetu,” amesema Dkt. Nchimbi

Amesema hayo yote akihutubia mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Mpira Kigwa, Kijiji cha Kigwa B, Jimbo la Igalula, Wilaya ya Uyui, mkoani Tabora, Dkt. Nchimbi leo Oktoba 6

View attachment 3484512

..mbona m23 waliwatembezea kichapo, wakazingirwa, na kusalimu amri?
 
Hahaha anajifariji ngoja pachangamke hatoamini yatakayotokea na hayo majeshi hatoyaona.
 
Back
Top Bottom