johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umeshapanic 😂😂Huo ni msimamo au uduwanzi? Simamia katiba na kanuni za CCM
Kaseme kwa NchimbiUmeshapanic 😂😂
Umecomment vizuri,emoji za kicheko za nnUmeshapanic [emoji23][emoji23]
Inaonekana ndani ya Ccm kuna upinzani mkubwa dhidi ya Dr Samia kuzidi ule wa Membe dhidi ya Magufuli.Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Hata awe mbovu kama huyu lakini lazima apige term 2? hovyo kabisaKatibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Ccm inaweza kukushangaza usibeti.Hakuna uwezekano wa katibu wa ccm kuwa rais wa JMT. Huyu nchiimbi hii kupewa ukatibu ni mbinu ya kumpoteza. Hapo ndiyo kafika mwisho wa ladder ya uongozi.
Lakini atafanikiwa kuingiza ndugu zake wa kutosha kwenye systemHakuna uwezekano wa katibu wa ccm kuwa rais wa JMT. Huyu nchiimbi hii kupewa ukatibu ni mbinu ya kumpoteza. Hapo ndiyo kafika mwisho wa ladder ya uongozi.
Watamalizana mapema snnaona nyanda za juu kusini zinawakilisha vyema watanangozi kajiuzulu mwenyewe
Ruvuma imetoa kitu
Amekumbushia tuKwani sio ndio utaratibu rasmi huo? Kwani kuna nini mpaka aseme hivyo?