Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Mimi ni mtu wa misimamo, Utamaduni wa CCM unajulikana Rais anahudumu awamu 2 nawaambieni Mapema kabisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa

Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Rais mwenyewe wa kuhudumu awamu 2 yuko wapi?!
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa

Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Kazi maalum!
 
Kwani sio ndio utaratibu rasmi huo? Kwani kuna nini mpaka aseme hivyo?
Ukiona BABA anaingia nyumbani anasema mimi ndo BABA,mnajua mimi ndo BABA wa familia hii jua kuna shida mahali.
Sote twajua wewe ni baba yetu unataka tena kujielezea???
 
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa

Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi

Mungu mbariki Dr Nchimbi
Huo siyo msimamo, kuijikomba siyo msimamo bali huyu ni bendera fuata upepo.
 
Yaani huyu hafiki hata miezi sita ccm watakuwa washamfanyia zengwe na ataondolewa kiti kitakuwa wazi. Polepole huwa anaaema sana wahuni ccm wapo wengi
Yeye mwenyewe ndio muhuni namba moja sisiemu.
 
Back
Top Bottom