Miti7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 1,081
- 1,958
Mpeleke uone kama atapata hata kura 30 tu nahamia SweedenNiko paleee nawasubiria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpeleke uone kama atapata hata kura 30 tu nahamia SweedenNiko paleee nawasubiria
Kama aliko hafai bado mnampa vipindi viwili?Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Sina mda wa kubishana na hater,Samia anakabidhi Kijiti 2030.Mpeleke uone kama atapata hata kura 30 tu nahamia Sweeden
Kipindi hicho Pemba na unguja itakuwa Dubai ya Tanganyika!Sina mda wa kubishana na hater,Samia anakabidhi Kijiti 2030.
Kura 1 inatosha kabisa.
Kaaisha yakanyaga ,je katiba ya ccm inasema hivyo , huyu apelekwe milembe mapema that's ccm wameialibu nchi ,kama katiba ya ccm yao haifuatwi vipi ya nchi pumbavuKatibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Sijui wewe unaonaje?Kipindi hicho Pemba na unguja itakuwa Dubai ya Tanganyika!
Kwanza nikuweke sawa we chawa mtoto, hakuna awamu bila uchaguzi, hivyo awamu ya sita ni feki haipo, Samia ni Rais wa Pili awamu ya 5.Kwenye karatasi ya Tume ya Uchaguzi kulikuwa na picha ya Magufuli na wewe?
Pili mambo ya sheria sijui awamu hayatafsiriwi Moja kwa Moja kwa kusoma article moja na kuja na conclusion.
Narudia kukwambia unaelewa Kwa nini inaitwa awamu ya 6? Katiba ya Nchi imekiukwa?
Eeehh, ni kweli kabisaKatibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa
Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni Mapema kabisa tusije kuzinguana huko mbele ya safari, amesisitiza Dr Nchimbi
Mungu mbariki Dr Nchimbi
Hajamaliza kamaliza awamu moja.Na Mimi nakuuliza Katiba ya Nchi inasemaje kuhusu Urais wa Samia? Anamalizia au ni awamu full?
Ukijibu Hilo swali Utajua maana ya Kauli ya Nchimbi.
Ndio yanatumika kumfavour maana ndio utaratibu wa Chama Cha Mapinduzi,hutaki huo utaratibu ni peleka kwenye vikao au hama chama simple tuu mbona.
Unajua Kwa nini inaitwa awamu ya 6? Unaelewa utaratibu wa kumalizia awamu au kuwa full awamu? Nani alisema awamu ni mpaka uchaguzi?Kwanza nikuweke sawa we chawa mtoto, hakuna awamu bila uchaguzi, hivyo awamu ya sita ni feki haipo, Samia ni Rais wa Pili awamu ya 5.
Sheria Mama huzaa sheria ndogo ndogo na sheria sio msaafu, Karatasi ya tume ilikuwa na Picha ya JPM na Samia ndio maana hakuna awamu ya Sita, Tume hutangaza kura za Rais sio makamu wa Rais na ndio maana anayeapishwa ni Rais na sio makamu, makamu ni ceremonial ndio maana ana kazi ya kuhangaika na mazingira.
Kama Urais ni awamu mbili na Samia alikuwa na JPM Kwenye karatasi ya kura, maana yake Awamu yake imeisha kwanini atake awamu ya tatu?
Sasa hapo si unaunga mkono Kauli ya KM kuwa sio Katiba ila ni utaratibu na utaratibu uheshimiwe.Hajamaliza kamaliza awamu moja.
Katiba ya CCM hazuii watu kuchukua fomu kisa mwenyekiti hajamaliza awamu mbili. Huo ni utamaduni ila si katiba. Ndio maana nasema waafrika wanaunda katiba wanaiweka pembeni wanafuata utamaduni.
Utaratibu rasmi[KATIBA YA CCM] unaruhusu wanaCCM kugombea. Sema ushakua utamaduni wa kutokumpinga anaposaka 2nd term.Kwani sio ndio utaratibu rasmi huo? Kwani kuna nini mpaka aseme hivyo?
Tena giza Totoro! Gharama za maisha zimekuwa juu sana huku viongozi wetu wakishindwa namna ya kutusaidia kuondoka ukali wa gharama hizi na kubaki kupigania nani atakuwa rais wa awamu ijayo. Hovyo sana hii.Nikiwaza Miaka mingine mitano ya huu utawala naona Giza mbele....
What a waste of 8 years!!!