Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
CCM ina kampuni ya kuchimba madini?!Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.
Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma Dkt. Nchimbi amesema "tunayo faraja sana kuongozwa nawe ambaye umeleta mabadiliko makubwa ya kimfumo ya kimuundo na kiuadilifu ndani ya Chama cha Mapinduzi"
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa ujenzi wa jengo hilo unatarajiwa kukamilika kufikia mwaka 2027 ambapo chama hicho kitakua kinatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Aidha ametaja gharama za ujenzi huo mpaka kukamilika kwake ni shilingi za kitanzania bilioni 34.13.
"Ujenzi wa jengo hili unatarajiwa kutumia takribani shilingi bilioni 34.13 mpaka litakapokamilika na nataka nikuhakikishie fedha za ujenzi wa awali wa jengo hili shilingi bilioni nane tayari zipo mikononi mwa Katibu Mkuu wa CCM"
Dkt Nchimbi ameeleza kuwa fedha zote za awali za ujenzi wa jengo hilo zimetolewa na kampuni zinazomilikiwa na chama hicho za Jitegemee Holding na Jitegemee trading.
Pamoja na hayo amesema kampuni hizo chini ya usimamizi madhubuti wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka miwili zimechangia shilingi bilioni 42 kwenda kwa serikali.
"Zimetoa kodi kwa TRA zaidi ya billioni 25 lakini pia zimetoa mrabaha kwa Tume ya Madini zaidi ya bilioni 16.5, hivyo serikali yako imepata zaidi ya bilioni 42 kama mchango wa kazi za kampuni za CCM"
Renders ziko wapi?Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.
Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma Dkt. Nchimbi amesema "tunayo faraja sana kuongozwa nawe ambaye umeleta mabadiliko makubwa ya kimfumo ya kimuundo na kiuadilifu ndani ya Chama cha Mapinduzi"
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa ujenzi wa jengo hilo unatarajiwa kukamilika kufikia mwaka 2027 ambapo chama hicho kitakua kinatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Aidha ametaja gharama za ujenzi huo mpaka kukamilika kwake ni shilingi za kitanzania bilioni 34.13.
"Ujenzi wa jengo hili unatarajiwa kutumia takribani shilingi bilioni 34.13 mpaka litakapokamilika na nataka nikuhakikishie fedha za ujenzi wa awali wa jengo hili shilingi bilioni nane tayari zipo mikononi mwa Katibu Mkuu wa CCM"
Dkt Nchimbi ameeleza kuwa fedha zote za awali za ujenzi wa jengo hilo zimetolewa na kampuni zinazomilikiwa na chama hicho za Jitegemee Holding na Jitegemee trading.
Pamoja na hayo amesema kampuni hizo chini ya usimamizi madhubuti wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka miwili zimechangia shilingi bilioni 42 kwenda kwa serikali.
"Zimetoa kodi kwa TRA zaidi ya billioni 25 lakini pia zimetoa mrabaha kwa Tume ya Madini zaidi ya bilioni 16.5, hivyo serikali yako imepata zaidi ya bilioni 42 kama mchango wa kazi za kampuni za CCM"
Kampuni hizo ni pamoja na ule mgodi wa makaa ya mawe kule Ruvuma?Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.
Akizungumza leo Mei, 28 katika tukio la uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi jengo jipya la Makao Makuu ya CCM mkoani Dodoma Dkt. Nchimbi amesema "tunayo faraja sana kuongozwa nawe ambaye umeleta mabadiliko makubwa ya kimfumo ya kimuundo na kiuadilifu ndani ya Chama cha Mapinduzi"
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa ujenzi wa jengo hilo unatarajiwa kukamilika kufikia mwaka 2027 ambapo chama hicho kitakua kinatimiza miaka 50 tangu kuanzishwa kwake.
Aidha ametaja gharama za ujenzi huo mpaka kukamilika kwake ni shilingi za kitanzania bilioni 34.13.
"Ujenzi wa jengo hili unatarajiwa kutumia takribani shilingi bilioni 34.13 mpaka litakapokamilika na nataka nikuhakikishie fedha za ujenzi wa awali wa jengo hili shilingi bilioni nane tayari zipo mikononi mwa Katibu Mkuu wa CCM"
Dkt Nchimbi ameeleza kuwa fedha zote za awali za ujenzi wa jengo hilo zimetolewa na kampuni zinazomilikiwa na chama hicho za Jitegemee Holding na Jitegemee trading.
Pamoja na hayo amesema kampuni hizo chini ya usimamizi madhubuti wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka miwili zimechangia shilingi bilioni 42 kwenda kwa serikali.
"Zimetoa kodi kwa TRA zaidi ya billioni 25 lakini pia zimetoa mrabaha kwa Tume ya Madini zaidi ya bilioni 16.5, hivyo serikali yako imepata zaidi ya bilioni 42 kama mchango wa kazi za kampuni za CCM"
Taratibu wanatoa siri za ndani. Mambo ni mengi na makubwa sana.CCM ina kampuni ya kuchimba madini?!
Hawatoweza kuendesha hayo majengo ,trust meCCM wanajiona wao ndio serikali, wakitoka madarakani majengo yao yageuzwe hospitali na shule.
Kuna chama kingine chochote cha siasa popote duniani kinachochimba na kufanya biashara ya madini?Renders ziko wapi?
Wanatumia Kodi zetu kisengerema, umbwa Hawa!Sawa tunamshukuru sana mama kwa bilion 34 za kujenga ofisi ya ccm....
Ziongezwe tena bilion 30 kupanda maua kwenye ofisi za chama
Wamejimilikisha vingi mno.Kuna chama kingine chochote cha siasa popote duniani kinachochimba na kufanya biashara ya madini?
Hela za makaa ya mawe hizo mnayoyapora mkoani Ruvuma.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Mwenyekiti wa chama hicho Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko makubwa katika chama hicho.