Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza 34 wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la jengo jipya la Makao Makuü ya CCM, amesema kuwa
ujenzi wa jengo hilo unakadiriwa kugharimu Shilingi bilioni 34. Aidha, amebainisha kuwa kiasi cha Shilingi bilioni 8 tayari kimetolewa kama fedha za awali kwa ajili ya kuanza kwa utekelezaji wa mradi huo mkubwa.
Pia amedai kuwa fedha hizo zimetoka kwenye kampuni za kujitegemea za CCM