Dkt. Ndubaro amuongezea faini babu wa TikTok

Dkt. Ndubaro amuongezea faini babu wa TikTok

Kama ni hivyo, serikali ilipaswa iwape TikTok na instagram vigezo vyao, sababu insta wao wameona ni sawa, wakairuhusu.
Insta kutwa mabinti wanatingisha makalio, wengine wanaweka moaka matangazo ya kuuza PAPA wemba.
 
Mkuu kwani mwanamke akitingisha kalio wewe unapungukiwa na nini? Mambo mengine tuache complicate sana bwana.
 
Huyo Waziri angejikita kuwajengea wanamichezo infrastructure kutokea katika grassroots huenda Olympic tungeambulia hata bronze...., hayo ya insta na tiktoko awaachie wanaoingia huko hulazimishwi kuangalia na wala hio sio public kusema ni redioni kila mtu atasikia.... Kama vipi mtu unaona hio mitandao haifai basi usiingie
 
Hivi huwa ni msanii wa kitu gani huyo babu?
Ana utoto mwingi sana,na kama ana familia basi anawadhalilisha mno watoto wake.
 
Back
Top Bottom