makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mkuu kwani mwanamke akitingisha kalio wewe unapungukiwa na nini? Mambo mengine tuache complicate sana bwana.Kama ni hivyo, serikali ilipaswa iwape TikTok na instagram vigezo vyao, sababu insta wao wameona ni sawa, wakairuhusu.
Insta kutwa mabinti wanatingisha makalio, wengine wanaweka moaka matangazo ya kuuza PAPA wemba.
Sijapungukiwa na kitu,Mkuu kwani mwanamke akitingisha kalio wewe unapungukiwa na nini? Mambo mengine tusiwe tuache complicate sana bwana.
Inawezekana ila mm nimesoma hapo tu kwenye kalio umenikwaza maana ni mdau mkubwa.Sijapungukiwa na kitu,
Nadhani umesoma na hujanielewa.