Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

Dkt. Ndugulile aishauri serikali kuruhusu malipo ya mtandaoni kama vile PayPal

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mbunge wa Kigamboni, Faustine Ndugulile ameuliza bungeni kuhusu mikakati ya serikali kufanya mapitio ya ada za usajili wa mifumo ya malipo(fintech apps) pamoja na mikakati ya kuboresha mazingira ya kazi kwa wabunifu wa malipo ya mtandao.

Zaidi ya hayo, ameulizia mpango wa serikali kuhurusu matumizi ya mfumo wa malipo wa Paypal ili kurahisisha malipo kwa vijana wajasiriamali wanaofanya kazi mitandaoni.
 
Haya ndio mambo ya kisasa tunayotaka yajadiliwe.

Mungu ambariki Mh
 
Crypto bros walikuwa wanampenda sana Ndugulile. Alikuwa anakutana naonsana kujadiki mambo yao.

Huyu waziri mpya simuoni.
 
Kwanini walizuia...??

Ujue kuna wakati huwa naona kama taifa tupo nyuma sana na Dunia...

Sijui ni kujilinda zaidi au ni vipi?
 
Akiwa waziri kwenye hiyo wizara kwa nini nakushauri au kuanzisha mchakato?
 
Kubeti inaruhusiwa lakini paypal hairuhusiwi nyambafuu kabisa...yani mpaka natamani niwe mkenya.
 
Back
Top Bottom