Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
Ulitaka afanyeje?Ndungulile alikuwa mbunge kivuli hapo Kigamboni. Ni wale watu wavivu hawana nia ya kutumikia wananchi pamoja na kuwa na elimu kubwa. Lilikuwa linalala tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka afanyeje?Ndungulile alikuwa mbunge kivuli hapo Kigamboni. Ni wale watu wavivu hawana nia ya kutumikia wananchi pamoja na kuwa na elimu kubwa. Lilikuwa linalala tu
ndio hapo pa tundu lisu kupima ukubalikaji wake kabla ya kugombea uraisi kwa hali ya kawaida kama ni kweli ni popular kihiivyo itakuwa ni land slide kwake …
Kweli anaweza kuangukia pua tena kwenye kura za maoni 2025 😄 🤣 😂Nani alisema hilo ni jimbo lake mpaka akalichukue?
Alishakatali awali angetoswa tena achague jimbo jengune tu huyo dogoIngekuwa kuna muda kabla ya uchaguzi, Bashite angejitosa huko.
Mweli kabisa hujakisea kiongoziKama sijakosea, chini ya mwaka mmoja kabla ya UCHAGUZI mkuu, ikitokea kiti cha Ubunge kipo WAZI ,Uchaguzi huwa haufanyiki( I stand to be corrected)