Ndungulile alikuwa mbunge kivuli hapo Kigamboni. Ni wale watu wavivu hawana nia ya kutumikia wananchi pamoja na kuwa na elimu kubwa. Lilikuwa linalala tu
ndio hapo pa tundu lisu kupima ukubalikaji wake kabla ya kugombea uraisi kwa hali ya kawaida kama ni kweli ni popular kihiivyo itakuwa ni land slide kwake …