Wanasiasa uwa makini na wenye hoja za msingi wanapopokonywa hivyo vyeo. January Makamba wa sasa siye yule wa kipindi cha JPM ila ni yule wa kipindi cha JK
Hoja ya mbunge Neema ni kwamba Mtu A, anayefanya biashara kwa njia ya kawaida (offline) na ana mauzo ya kuanzia mil 4 kwa mwaka anatozwa kodi ya laki 1.
Mtu B, anayefanya biashara kwa njia ya mtandao (online) na ana mauzo ya kuanzia mil 4 kwa mwaka, kwanini yeye asitozwe hiyo laki 1 ?
Nimeshangaa kuona wewe umekuja na hoja ya kupambana na vijana.