Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hajasajili nyingi kwa kukusudia inatokea kweli ni kweli system mawakala inawasumbua sana ni mara chache kukubali hapo hapo na yeye analinda ugali akikuacha wewe utaghairi atakosa kipato.Nimeshka sana maana kuna siku nasajiki laini niliweka kidole zaidi ya mara 6 na ilikataa ila nashangaa kila nikitaka kitambulisho hangu jamaa aliking'ang'ania akiniambia bado na baadae ndio ananiambia imekubali sasa ndio sijui alisajili kadhaa au laa
Aalfu kama kasajili laini ingine huyo wakala si utaona ukienda kwenye menu itakuonesha namba zilizosajiliwa kwa kitambulisho chako.Hajasajili nyingi kwa kukusudia inatokea kweli ni kweli system mawakala inawasumbua sana ni mara chache kukubali hapo hapo na yeye analinda ugali akikuacha wewe utaghairi atakosa kipato...
Huenda sio fanisi sana.Aalfu kama kasajili laini ingine huyo wakala si utaona ukienda kwenye menu itakuonesha namba zilizosajiliwa kwa kitambulisho chako..
Hili ndio swali la msingi ikiwa tumesajili tena kwa alama za vidole ambapo kila mtumiaji wa line za simu taarifa zake zipo TCRA. [emoji1474]Kwanini tunaendelea tapeliwa?
Nimeshka sana maana kuna siku nasajiki laini niliweka kidole zaidi ya mara 6 na ilikataa ila nashangaa kila nikitaka kitambulisho hangu jamaa aliking'ang'ania akiniambia bado na baadae ndio ananiambia imekubali sasa ndio sijui alisajili kadhaa au laa
Piga *106# utapata namba zote zilizosajiliwa kwa kutumiya kitambulisho chako cha NidaNimeshka sana maana kuna siku nasajiki laini niliweka kidole zaidi ya mara 6 na ilikataa ila nashangaa kila nikitaka kitambulisho hangu jamaa aliking'ang'ania akiniambia bado na baadae ndio ananiambia imekubali sasa ndio sijui alisajili kadhaa au laa
What if kukiwa na number iliyosajili na ID yangu nami siifahamu, pia nikipiga Yaita bila kupokelewa (si jinai hii?)Piga *106# ukague line ulizosajili na namba yako ya NIDA