Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mnufaika wa mfumo mbovu. Anavyoongea Sasa kama mtu wa maana kivile kumbe hamna kitu yupo kimaslahi yake na familia yake na Manyang'au mengine ya CCM.Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.
Akizungumza Aprili 14, 2025 katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika uwanja wa Mashujaa, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Dkt. Ndumbaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kuhusu sifa za kushiriki uchaguzi.
"Vigezo vya kumzuia mtu kushiriki uchaguzi ni kama si Mtanzania, ana matatizo ya akili, amehukumiwa kwa kosa la jinai, au hana kitambulisho cha mpigakura. Kama hauna kasoro hizo, kwanini usitumie haki yako?" alisisitiza Dkt. Ndumbaro.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Waziri huyo amewakosoa baadhi ya wanasiasa wanaopotosha haki za binadamu kwa kuziangalia kisiasa pekee, huku wakisahau jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuboresha maisha ya wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu na huduma za kijamii.
Katika mkutano huo, Dkt. Ndumbaro amewataka pia viongozi wa dini kukemea maovu, wakiwemo wale wanaojichukulia sheria mkononi, na kuwataka wananchi kujikita katika kutafuta suluhu ya migogoro badala ya kulimbikiza chuki, hasa migogoro ya ardhi na mirathi.
Watu wafupi wenye vichwa vya duara hata wakiwa wamesoma wanakuwa na uduwanzi fulani hivi.Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.
Akizungumza Aprili 14, 2025 katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika uwanja wa Mashujaa, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Dkt. Ndumbaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kuhusu sifa za kushiriki uchaguzi.
"Vigezo vya kumzuia mtu kushiriki uchaguzi ni kama si Mtanzania, ana matatizo ya akili, amehukumiwa kwa kosa la jinai, au hana kitambulisho cha mpigakura. Kama hauna kasoro hizo, kwanini usitumie haki yako?" alisisitiza Dkt. Ndumbaro.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Waziri huyo amewakosoa baadhi ya wanasiasa wanaopotosha haki za binadamu kwa kuziangalia kisiasa pekee, huku wakisahau jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuboresha maisha ya wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu na huduma za kijamii.
Katika mkutano huo, Dkt. Ndumbaro amewataka pia viongozi wa dini kukemea maovu, wakiwemo wale wanaojichukulia sheria mkononi, na kuwataka wananchi kujikita katika kutafuta suluhu ya migogoro badala ya kulimbikiza chuki, hasa migogoro ya ardhi na mirathi.
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.

Umma unajua kuwa hakuna uchaguzi bali ni uchafuzi nadhani wanawahaa Wazungu.Wanataka watu wawe wengi vituoni ili kuhadaa umma kuwa wanakubalika.
Hayo mambo akaiambie familia yake na sio watanzania.anayetakiwa kupuuzwa ni mwenye hofu ya no reforms no election anayedhani watanzania hawana Akili kama yy.Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.
Akizungumza Aprili 14, 2025 katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika uwanja wa Mashujaa, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Dkt. Ndumbaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kuhusu sifa za kushiriki uchaguzi.
"Vigezo vya kumzuia mtu kushiriki uchaguzi ni kama si Mtanzania, ana matatizo ya akili, amehukumiwa kwa kosa la jinai, au hana kitambulisho cha mpigakura. Kama hauna kasoro hizo, kwanini usitumie haki yako?" alisisitiza Dkt. Ndumbaro.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha, Waziri huyo amewakosoa baadhi ya wanasiasa wanaopotosha haki za binadamu kwa kuziangalia kisiasa pekee, huku wakisahau jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuboresha maisha ya wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu na huduma za kijamii.
Katika mkutano huo, Dkt. Ndumbaro amewataka pia viongozi wa dini kukemea maovu, wakiwemo wale wanaojichukulia sheria mkononi, na kuwataka wananchi kujikita katika kutafuta suluhu ya migogoro badala ya kulimbikiza chuki, hasa migogoro ya ardhi na mirathi.
Safari hii imekura kwao. Mgomo usio na madhara kwa mpiga kura! Wanalo. Tumeshindwa maandamano kwa kuwa watatupiga risasi, ila hili la kupiga kura Dadeki ngoja siku ifike mapema ni kupumzika home Watanzania wote kasoro manufaika machache ya mfumo wasiozidi laki 3 ukijumuisha na koo zao ndio watashiriki.Wanataka watu wawe wengi vituoni ili kuhadaa umma kuwa wanakubalika.
Kwa kanuni zipi
Ugali mtamuWaziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.