PreGE2025 Dkt. Ndumbaro: Watanzania puuzeni wanaowashawishi msishiriki uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Watu wafupi wenye vichwa vya duara hata wakiwa wamesoma wanakuwa na uduwanzi fulani hivi.
Mzee wa Watu kujitunzia heshima yake bora angekaa mbali na huu mzozo maana watu watampasulia mpaka asiyoyataka kuna wengine wamekaa mbali kabisa na huu mzozo hawataki hata kutia neno sio kwamba hawana maneno ya kuongea
 
Safari hii imekura kwao. Mgomo usio na madhara kwa mpiga kura! Wanalo. Tumeshindwa maandamano kwa kuwa watatupiga risasi, ila hili la kupiga kura Dadeki ngoja siku ifike mapema ni kupumzika home Watanzania wote kasoro manufaika machache ya mfumo wasiozidi laki 3 ukijumuisha na koo zao ndio watashiriki.
Wezi hao CCM ni Wezi huoni wanavyoiba kura kwa kutumia kigezo cha kanuni ya Mchongo wa Ramadhan Kamalia?
 
Madai ya CHADEMA ni ya haki kabisa justification ya haki hiyo ni chaguzi za hovyo za 2019/2020/2024 watendaji wa vijiji kata na WALIMU walicheza kufuru za wazi kabisa chini ya MAELEKEZO kama hiyo haitoshi watu waliuwawa kutekwa nk leo mnataka chadema washiriki uchaguzi chini ya mazingira yaleyale? Hapana aisee
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.

Akizungumza Aprili 14, 2025 katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika uwanja wa Mashujaa, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Dkt. Ndumbaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kuhusu sifa za kushiriki uchaguzi.

"Vigezo vya kumzuia mtu kushiriki uchaguzi ni kama si Mtanzania, ana matatizo ya akili, amehukumiwa kwa kosa la jinai, au hana kitambulisho cha mpigakura. Kama hauna kasoro hizo, kwanini usitumie haki yako?" alisisitiza Dkt. Ndumbaro.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha, Waziri huyo amewakosoa baadhi ya wanasiasa wanaopotosha haki za binadamu kwa kuziangalia kisiasa pekee, huku wakisahau jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuboresha maisha ya wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu na huduma za kijamii.

Katika mkutano huo, Dkt. Ndumbaro amewataka pia viongozi wa dini kukemea maovu, wakiwemo wale wanaojichukulia sheria mkononi, na kuwataka wananchi kujikita katika kutafuta suluhu ya migogoro badala ya kulimbikiza chuki, hasa migogoro ya ardhi na mirathi.

Ukitaka kujua kua anaongea hayana maana waangalie wasikilizaji. Wako kimyaa wengine wala hawa-pay attention. Alipouliza kuna sababu ngapi kimyaa kwa mbali akasikika mtu nneee. Hii ni tofauti na Lisu akiongea, kundi lote huripuka.

What does this mean? Watu wamechoka kudanganywa na wanajua nani muongo.

Consequences: siku ikifika halitasalia jiwe juu yajiwe. Mtatoa mamilioni ili wawaachie watakataa kama yule aliyemtumbua Ghadafi mapanga hata baada ya Ghadafi kumhaidi dollar mamilion kama hatamuua.

Mnaona mnafumba macho na kuziba masikio. Siku hiyo yana
 
Unataka wakusikilize wewe unayenufaika na wizi wa kura. Swali toka kwa wenye akili ni kwamba washiriki uchaguzi ili iwe nini?

Ndumbaro ni kati ya hayo machawa yanayojitahidi kumdumbukiza Samia shimoni kutokana na kuwa mtumwa wa tumbo lake.
 
Safari hii imekura kwao. Mgomo usio na madhara kwa mpiga kura! Wanalo. Tumeshindwa maandamano kwa kuwa watatupiga risasi, ila hili la kupiga kura Dadeki ngoja siku ifike mapema ni kupumzika home Watanzania wote kasoro manufaika machache ya mfumo wasiozidi laki 3 ukijumuisha na koo zao ndio watashiriki.
Ndio kipindi tutajua watu wanaotuumiza na jamaa zao wanufaika.tutawaona kwenye mikutano yao na kuwaunga mkono siku ya kupiga kura.Watanzinia tufike mahali tuaamke tusibake tu kama zile zama mppaka kinyata anatuita maiti.Angalau hata kama Elimu ni ya kata itusaidie hata kujijua kuwa sisi ni binadamu tunatofauti na sokwe ingawa sokwe kwa Njia moja au nyingine wanaweza wakatuzidi kwenye imaya yao ya kiutawala.
 
Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ametoa wito kwa Watanzania wote kuwapuuza wanasiasa wanaowashawishi kutoshiriki katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa haki ya kushiriki uchaguzi ni ya kikatiba kwa kila Mtanzania mwenye vigezo.

Akizungumza Aprili 14, 2025 katika uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia katika uwanja wa Mashujaa, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Dkt. Ndumbaro amesema kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kuhusu sifa za kushiriki uchaguzi.

"Vigezo vya kumzuia mtu kushiriki uchaguzi ni kama si Mtanzania, ana matatizo ya akili, amehukumiwa kwa kosa la jinai, au hana kitambulisho cha mpigakura. Kama hauna kasoro hizo, kwanini usitumie haki yako?" alisisitiza Dkt. Ndumbaro.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Aidha, Waziri huyo amewakosoa baadhi ya wanasiasa wanaopotosha haki za binadamu kwa kuziangalia kisiasa pekee, huku wakisahau jitihada kubwa zinazofanywa na serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuboresha maisha ya wananchi kupitia ujenzi wa miundombinu na huduma za kijamii.

Katika mkutano huo, Dkt. Ndumbaro amewataka pia viongozi wa dini kukemea maovu, wakiwemo wale wanaojichukulia sheria mkononi, na kuwataka wananchi kujikita katika kutafuta suluhu ya migogoro badala ya kulimbikiza chuki, hasa migogoro ya ardhi na mirathi.

Hatushiriki Mtuue
 
Back
Top Bottom