Dkt. Ndyanao Balisidia aliyeimbiwa mwimbo wa harusi na kaka yake Patrick Balisidia miaka ya 70

Kumbeeee,huu wimbo Mr.Paul wa bongo fleva aliwai kuimba kama copy miaka ya 2000s huko.
 
Asante sana kwa historia,miaka yote naisikiliza hii nyimbo nilijua iliimbwa tu kama interest ya msanii kumbe ilikuwa maalumu kwa dada yake.

Nimesoma Wikipedia wanasema huyu Dr Ndyanao alifariki kwa cancer early 1987 aged 40.Mungu amlaze pema.
 
Ni wimbo wenye mapenzi mema kwa hao Ndugu, pia unaishi siku nyingi mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…